Picha zote na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO
Home
Unlabelled
tatiana atua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaja kufanya nini naye huyu?matende matende ah!kumrusha roho tu mzungu wa watu ay!lol
ReplyDeleteKaribu shemeji, kwa ujio huu wa kichokozi matende yatakuwa historia tu.
ReplyDeleteHakuna kitu.
ReplyDelete(US Blogger)
Wecome to TZ Tatiana. Long live Tanzania-Angola relationship!!!!!!!!!!!!1
ReplyDeleteaache hizo huyu kamfata richard tuu samahani sana kaka wa watu ndoa yake iko mswano na wana mtoto dada maliza ishu zako za matende urudi kwenu
ReplyDeletechonde chonde chonde, Richard pliiiiiiiiiiiiz! ziba masikio na macho, maana kipindi hiki ni cha hatari kwa ndoa yako. Katika wiki hii ya 'ujio' hata ukienda toilet unapaswa kumuaga mkeo ama sivyo yatakuwa yaleyaleeeeeee.
ReplyDeleteNkyabo Bongo
Kaka Imma Kiliba longtime...nakuona hapo.....umekua mjasiriamali sasa safi sana......
ReplyDeleteama kweli wanaume wa bongo wanajua kujituma wawapo old traford. hadi shemeji kamzukia rich! eti kizingizio ni elephantiasis.
ReplyDeleteTatiana tunajua kilichokuleta acha kutuzuga na matende.
ReplyDeleteETI HUYU NAE NI STAA AFRICA.
ReplyDeleteJAMANI DUNIA IMEVAMIWA NA HIZI NYWELE ZA BANDIA, (MMOJA ALISEMA NYWELE ZA MAITI). YAANI IMEKUWA KAMA VILE USIPOWEKA NYWELE BANDIA BASI WEWE SI MWANAMKE/MSICHANA MREMBO. JAMANI WENGIN WAO SIONI HUO UREMBO WA HIZI ARTIFICIAL HAIR. PIA ZINAZUI HEWA KUIBNGIA KATIKA KICHWA NA YAWEZA KUSABABISHA MATATIZO YASIYOWEZA KUTAMBULIKA MAPEMA. UNAKUTA MTU ANA MSONGO NA HASIRA KUMBE KICHWA KIMEKOSA PUMZI!
ReplyDelete