dar ingepata trafiki wanne tu kama hawa kusingekuwa na foleni barabarani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. he he he!!

    ReplyDelete
  2. Miaka ya 80 kulikuwa na trafic police mmoja pale Salender Bridge ambaye alikuwa nae mkali kwa uongozaji wa magari. Bahati mbaya miaka hiyo sikufuatilia hata jina lake.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  3. huyu jamaa kaanza kwa mbwembwe, lakini muda unavyozidi kwenda anapunguza kasi, nadhani muda fulani atapoa mwenyewe.

    ReplyDelete
  4. ankal, nimecheka sana leo, ila dar na sisi tulikuwa na mmoja anaitwa mayenu, sijui alipotelea wapi jamani, dah!!! thanx 4 making my day!!

    ReplyDelete
  5. full mjani

    ReplyDelete
  6. mie naona magari yanajiongoza yenyewe, jamaa anawachezea shoo wadereva

    ReplyDelete
  7. ha ha ha huyu trafic anaonesha jinsi gani anavyoipenda kazi yake.

    ankal unataka trafic wetu wafanye vila na hile mitambi yao ya rushwa? yale mambo yanaitaji mazoezi sio mitambi ya rushwa.

    ReplyDelete
  8. Hapa Dar matrafiki wanazidisha foleni badala ya kuzipunguza. Trafiki wanapoleta ufundi wa kuongoza magari katika makutano yenye taa msongamano unakuwa ni balaa, lakini taa zinapoachwa zifanye kazi bila kuingiliwa magari yanatembea vizuri tu. Ikumbukwe kuwa binadamu hawezi hata siku moja akawa ‘efficient’ katika kuongoza magari zaidi ya taa zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo. Vioja hivi vya trafiki kung'ang'ania kuongoza magari wakati taa zinafanya kazi nimeviona Bongo tu.

    ReplyDelete
  9. mithupu hapo utulivu ziro! asante kwa kunifanya nilale shwari!

    ReplyDelete
  10. kuna mmoja japo sio trafic anongoza magari hapo kituo cha mafuta Bamaga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...