dar ingepata trafiki wanne tu kama hawa kusingekuwa na foleni barabarani...
Home
Unlabelled
trafiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
dar ingepata trafiki wanne tu kama hawa kusingekuwa na foleni barabarani...
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
he he he!!
ReplyDeleteMiaka ya 80 kulikuwa na trafic police mmoja pale Salender Bridge ambaye alikuwa nae mkali kwa uongozaji wa magari. Bahati mbaya miaka hiyo sikufuatilia hata jina lake.
ReplyDeleteBlackmpingo
huyu jamaa kaanza kwa mbwembwe, lakini muda unavyozidi kwenda anapunguza kasi, nadhani muda fulani atapoa mwenyewe.
ReplyDeleteankal, nimecheka sana leo, ila dar na sisi tulikuwa na mmoja anaitwa mayenu, sijui alipotelea wapi jamani, dah!!! thanx 4 making my day!!
ReplyDeletefull mjani
ReplyDeletemie naona magari yanajiongoza yenyewe, jamaa anawachezea shoo wadereva
ReplyDeleteha ha ha huyu trafic anaonesha jinsi gani anavyoipenda kazi yake.
ReplyDeleteankal unataka trafic wetu wafanye vila na hile mitambi yao ya rushwa? yale mambo yanaitaji mazoezi sio mitambi ya rushwa.
Hapa Dar matrafiki wanazidisha foleni badala ya kuzipunguza. Trafiki wanapoleta ufundi wa kuongoza magari katika makutano yenye taa msongamano unakuwa ni balaa, lakini taa zinapoachwa zifanye kazi bila kuingiliwa magari yanatembea vizuri tu. Ikumbukwe kuwa binadamu hawezi hata siku moja akawa ‘efficient’ katika kuongoza magari zaidi ya taa zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo. Vioja hivi vya trafiki kung'ang'ania kuongoza magari wakati taa zinafanya kazi nimeviona Bongo tu.
ReplyDeletemithupu hapo utulivu ziro! asante kwa kunifanya nilale shwari!
ReplyDeletekuna mmoja japo sio trafic anongoza magari hapo kituo cha mafuta Bamaga.
ReplyDelete