Twiga Stars lililofungwa na Asha Rashid 'Mwalala'
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Wanawake 'Twiga Stars' Esther Chabruma (kulia) akikabiliana na mabeki wa Ethiopia, Semira Kemar Aman na Beziihan Endale Alemar wakati wa mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa wa Uhuru jijini Dar leo jioni ambapo Twiga stars imeweza kuvuka ngwe hiyo kwa kutoa droo ya 1-1 hivyo kuwa washindi kufuatia mabao 4-0 waliyofunga Ethiopia wiki mbili zilizopita.
Asha Rashidi 'Mwalala' (katikati) akiipangua ngome ya Ethiopi a, shoto ni Semira Kemar Aman na Beziihan Endale Alemar wakati akielekea kusawazisha bao na kuifanya Twiga Stars isonge mbele.
HABARI ZINASEMA TIMU YA TWIGA STARS IMEPATA AJALI WAKATI IKIELEKEA HOTELINI BAADA YA BASI LAKE KUGONGWA KWA NYUMA NA LORI SEHEMU ZA KIGOGO. HAKUNA ALIYEJERUHIWA
SIMBA YAIBANJUA LENGTHENS BAO TATU BILA, MICHUZI TUPE PICHA ZA WEKUNDU WA MSIMBAZI WANAVYOTESA HUKO ZIMBWABWE KWA MUGABE.
ReplyDeletewell done girls!
ReplyDeleteSafi sana Twiga Stars, Nawafagilia.
ReplyDeletehapa hakuna habari za Wekundu wala Yebo, hapa ni za Kitaifa tu, ankal itabidi tufanye harambee ili wakina dada zetu wapate misosi ya maana ili wawe kama madada wa zimbabwe si mnawakumbuka walivyoshiba
ReplyDeleteWapi sister sister toka Mugumu Nyerere F.C.
ReplyDeleteMaana hii ilikuwa ni namba ya kutumainiwa!
Bro Michu, mbona unakuwa kama sio mzalendo kulikoni? SIMBA katafuna wa2 Zimbabwe, hamna habari YANGA akifungwa habari zinakuwepo kwanini? Au wa2 wa Globu ya jamii wote ni YANGA??? Mimi ninakuombeeni duwa muumfunge Man U. Labda habari za Mnyama Mkali 2naweza kuzipata
ReplyDeleteSIMBA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kigogo, Mbuyuni Dar a.k.a. Kigogo boy
Dada uclie ndo mpira ulivyo, lazima ukubari matokeo . Nimeckia Mnyama katafuna wa2 Zimbambwe bila ya huruma eti ni kweli???
ReplyDeletesister sister toka Mugumu Nyerere F.C. saivi ni mja mzito hawezi kuche, we ngoja akishajivungua utaona vitu vyake.
ReplyDeleteHongeleni Twiga lau mlete matumaini yaliyopotea
ReplyDeleteNagal Washnton
inaonyesha ama mlibahatisha kule ethiopia au mlibweteka na ushindi wa mabao4. inakuwaje kwao mshinde goli nyingi afu nyumbani mlazimishe sare. mi siwafagilii hata kidogo nguvu za soda tu
ReplyDeleteWanamama kwa kupenda kulialia kama mtoto kapewa pipi
ReplyDeleteASHA RASIDI'MWALALA'HII AIJAKA VIZURI BADALA KUYAENZI MAJINA YA WAKALI WETU WA ZAMANI CHITETE,MWAIJIBE,GESANI,ABASI SUNGURA,KULAGWA NK TUWE WAZALENDO KAMA PONDAMALI ALIVYO LIKATAA JINA LA MENSAH,AU VIPI MKUU KUANZIA LEO KWA KIWANGO NA KIPAJI CHAKE NA UKALI ALIONYESHA TUNAMPA ASHA RASHIDI'DILUNGA'
ReplyDeleteAnafagilia Yanga si ina rangi za kina JK sasa wewe kama unabisha sema, na wewe usiye na uzalendo wa kuwashangilia akina dada wewe ni MKIMBIZI TU rudi kwenu kwenye njaa, Pambaafu, BIG -UP ANKAL kwa kufagilia madada zetu
ReplyDeleteMdau asante kwa taarifa.
ReplyDeleteSister Sister toka Nyerere FC Tunakupa hongera na kukutakia mema ujifungue salama na urudi kwenye dimba.
Tuko pamoja katika sala na tunakukumbuka sana wakati tunacheza wote katika hiyo timu ndogo ambayo historia yake haitasahauliwa huko Mugumu, Shirati, Musoma na pale Butiama!
heeee
ReplyDelete