kaka leo nimebahatika kumwona yule mbwa aliyeibiwa sinza picha nimeambatanisha hapa, mdau alikuwa anamuuza kwa elfu 45 mitaaa ya block 41 nyuma ya best bite, hahahaha..!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kha!!! Ndo za kibongo bongo hizo, mbwa alikuwa wa nani?

    ReplyDelete
  2. One day yes, a White man will start eating human s*#t in the belief of medicine, and a Black man will follow...

    ReplyDelete
  3. Duh huyu anaelekea IRINGAAAAAAAAAAA!!!! kaumia huyu basi tena hahahaaha. Iringa subirini mishikaki tu. Taj

    ReplyDelete
  4. Hapo kushoto ni kwa kisamo(nyama za aluminium) na kulia kwenye gari ni kwa Ma mzungu,dada yuko poa huyu..na ni kijiwe cha mawe(madini) aina zote

    ReplyDelete
  5. MITAA HIYO KUNA WACHINA KISHENZI.. JAMAA KALA BINGO HAPO.. NOMA!

    ReplyDelete
  6. not funny at all !
    the guy was serious and you are making funny here .
    kuwa wewe acha utoto.
    jamaa uliyepoteza mbwa usijali utampata tu dog lako, usikate tamaa.

    ReplyDelete
  7. acha utani wa kitoto,mtu kapotelewa na mlinzi wake,na wala siyo huyo,huyo ni kondoo wa kwenu hujamjua tu,,,uliuzwa dogo.

    ReplyDelete
  8. all in all mbwa mpaka anaibiwa anauzwa huyo ni mbwa au toy
    ts not worth goin back to (suppozidly alitakiwa kumng'ata na kujerui adui)
    eti german shepherd labda ni chinesse shepherd

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...