Home
Unlabelled
ankal na maankal watembelea tokyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ama kweli Waafrika tuna utamaduni wa kupenda vitu vibaya. Yaani hata uwanja wa mpira unatushinda kuutengeneza vizuri! Bongo tambarare!
ReplyDeleteAnkal mi katika vyote naomba tu mniletee " IMYUBHA- MIWA, na MABIFU- NDIZI KISUKARI" Ndagha musyilile (Poleni na kuzika nyanya yenu)
ReplyDeleteTULETEE PICHA YA KABURI LA JOHN NA WANAKIJIJI WENZEKE WALIOKUWA WAKIIBA MAFUTA KUTOKA KWENYE LORI LILILOPINGUKA. WENYE NDOO HAYA WENYE VIDUMU HAYA
ReplyDeletetokyo tokyo nini jamani huko tukuyu usipaparike na maJINA YA sehemu za watu
ReplyDeleteNimeamini kweli ankal Moses anaishi Sweden. Jamani miwa haing'olewi, inakatwa!!!!
ReplyDeleteVinginvyo nimependa mandhari ya uoto na hali ya hewa ya Tokyo, muonekano ni kama wa kwetu Katerelo.
Thanks for nice pictures of Tukuyu. We hail them for eating well balaced diet. Picha ya wanafamilia inaendana na mlo kamili wanaokula. Hongera sana nasi tuige!
ReplyDeleteHata hivyo nawatadharisha watanzania wenzangu kuhusu mila potofu za kudhuru makaburi ya wafu. Hasa Wahehe, Wachagga (Rombo na Kibosho) na Wanyakyusa. Acheni wafu wapumzike tukutane peponi. Mmesikia yaliyotoke Poland uongozi wote umefutika sababu ya kuabudu wafu. Wachagga wengi hufa wakienda au kutoka kujengea makaburi jamani. Wanashehereki kwa bia na nyama hata kama ni vijana wamekufa. Someni maandiko vizuri. Iweje leo huko Mazombe Iringa Makaburi ni mazuri kuliko nyumba za watu. Yanajengwa mithili ya nyumba?? Watu wanalala kwenye Mapagale , za nayasi lakini Makaburi ni ya matofali na tiles. Leave deads to rest in their graves, they are not part of us anymore. Ankal sorry ila tuwe wazi.
mdau 11:00
ReplyDeleteumenena wachaga wa rombo wana mila mbaya kuliko watu wote duniani na hata mtu akifa haawogi hadi wazike nahoji je mwanamke akiwa katika siku zake?? hizi mila zinaleta hadi magonjwa !! pumbavu sana!
Anonymous wa Apr 13, 02:11
ReplyDeleteWe ndio unaefuata mila usizozijua, si wengine tunafuata jadi yetu na kutambika na kujali makaburi ya waliotutangulia. Hayo maandiko yalitumika kutukandamiza na kutunyanyasa na yanaendelea hadi leo, fungua macho uone. Mwafrika nae ana dini yake ya jadi na mizimu yetu ni sehemu ya dini zetu za jadi...Usipotoke na dini za waarabu na wazungu!!
Big up dini zetu
yaani ankal umenikumbusha kwetu kabisa .. Bagamoyo nimefurahi sana..... umenikumbusha mama yangu mama Zara ....I miss you mum...,nimemuona ankal wangu chale ,nimemuona sheikh Shida ....namkumbuka sana sana aunt stumai sijui yupo wapi sasa,...ametulea sana,umenikumbusha mwisho wa mji....yaani I cant stand...nimefurahi sana...nimeona soko lililotukuza,nimeona kiwira wakati ule tulikuwa tunapaita mia zoteee...thanks my dear..nimefurahi mnooo.......
ReplyDeleteBrother Michuzi asante kwa kuchapisha maoni yangu kuhusu Mila potofu za kuzuru makaburi ya wafu japokuwa zimekinzana/negative na yale unayoamini. Kweli blogu yako ni ya ukweli na uwazi kwa kila mtu. Nakutakieni safari njema ya kurudi DAR ES SALAAM wewe na rafiki zako na PIA maisha memma kwa familia yako.
ReplyDeleteWako mwanamtandao Richard Mazingira
richardmazingira@yahoo.co.uk
Ankal...nimefurahi sana sana kuona kwetu kabisa......umenikumbusha mtaani kwetu nilikokulia Bagamoyo ,umenikumbusha sana mama yangu Mama Zara,...I miss you mom...nimemuona uncle Chale umepiga nae picha,nimemuona Sheikh Shida,nimemuona aunt Situmai ametulea sana sijui yupo wapi siku hizi...umenikumbusha mwisho wa mji...kiwira mia zoote wakati ule...I cant stand ...nimefurahi mno....Thanks a lot ankal...
ReplyDeleteANKO MBONA ZE FULANAZZ BADO IPO! AU ILIKOSA MTEJA?
ReplyDeleteAnkal,, i thought ze Fulanaz went for ze mnada.. natafuta fulana kama hiyo,, nitaipata wapi
ReplyDeleteMdau,, Costrori
jamani tukuyu ,naona hapo maankal wako landmark hotel kwenye cannopy,opp na laxmi hotel
ReplyDeleteuncle ndizi hapo unaponunua ni kiwira ndio kuna vindizi vya kuiva vingi
nimemiss tukuyu na vitongoji vyake vya bulyaga,mabonde, ushirika,ndaga ,kiwira hali ya hewa nzuri sana
Mdogo wangu michuzi usifikiri kila kitu basi kinachekesha, mbona majina yetu mazuri tuu. kwa nini uite tokyo, ili iweje kama sio ushamba tu. Mara ukaenda reading UK unadai mji wa kusoma? tafuta vitu vya kuchekesha maana kwa mwendo huu utaharibu sifa kubwa ulioijengea blog yako. Binafsi naipenda kazi yako ila hizi lugha ulizokuja nazo hazivutii, Tukuyu ni tukuyu sio tokyo, who cares abot tokyo anyway? Jirekebishe Michuzi sometimes unabore.
ReplyDeleteWhat a beatifull contry, wangekuwa wazungu ndio wanaishi kwenye mandhari nzuri hivyo mbona mngependa? waafrika kweli tuna vitu vizuri basi tu hatujui namna ya kuvitumia
ReplyDeleteUncle Michuzi leo umenifurahisha kweli. Kukaja kutukuju ndio moyo uliko. Asante kwa picha nzuri za nyumbani. Ndaga fijo malafyale.
ReplyDeletemtoa maoni unayelalamika kuhusu tokyo mbona hata dar es salaam ni jina la mji huko united arab emirate?acha chuki za kijinga
ReplyDeletePicha murua hizi kaka, umenikumbusha TKY!
ReplyDeleteAhsante sana!
Maggid
TUKUYU NI KATI YA WILAYA CHACHE KABISA HAPA TZ AMBAZO MAZINGIRA YAKE NI KAMA ULAYA ULAYA
ReplyDeletedu kweli tukuyu kuna neema ya vyakula
ReplyDeleteUGONILE ANKAL!
ReplyDeletenimetamani ndizi na katapela
ReplyDeletejamani kumbe michuzi ni mny"akyusa nilijua ni mzaramo
ReplyDeletenilifikiri tukuyu ni jangwa kama mikoa ya kati du kumbe kijani mtupu asante kwa picha nzuri
ReplyDeleteunkal kwenye limo la babu! jamamni hiyo fulana si uliiuza ukerewe kwa paund 1000? Vipi tena mbona bado unaivaa?
ReplyDeleteAnkal,ze fulanazi si uliiuza kule kwenye Diaspora? au mie kuna habari ilinipita hapa kati?
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHAH Miwa haingolewi inakatwa Comment nimecheka kweli sababu ni ukweli Kazoea Mihogo sio hahahaahaha Mbayaaaaaaaaaaaaaaa lol! Hayajawa Baba Ubaya.
ReplyDeleteANKAL MICHUZI HUYO ANKAL MOSES HAPO ANACHUMA AU ANANG'OWA ANATUMIA NGUVU ZOTE HAKUNA PANGA KARIBU? AU NDIO MMEKUTA PALE YA MWANAKIJIJI MNAAMUWA KWENDA KINYUME HAHAH MNABAHATI AFANDE KOVA HAYUPO SEHEMU HIZO. ANKO WA MWANZA.
ReplyDeleteSwali la kizushi Kwani Ankal Michuzi we ni Mnyakyusa?
ReplyDeletefulanazzzzzzzz ilitolewa kule mji wa kusoma na hapa umeivaa naomba ufafanuzi zaidi
ReplyDeleteHamna uwazi wowote hapo. Wewe kama huna maadili nyamaza uache watu wafanye mambo yao. Kwani hiyo ndege iliyoanguka Poland ni kwa sababu walikuwa wanasheherekea wafu au kwa sababu pilot anashukiwa hakusikiliza amri ya air traffic control? Hamna utamaduni wowote duniani usioheshimu wahenga wao, wawe Wazungu au Waafrika. Ndio maana ukienda makaburini kama Ubungo Dar unakuta manyasi kila sehemu.
ReplyDeleteMimi nashauri uache kubwiya unga, kwa sababu inaleta madhara makubwa
Ankal inakuwaje tena the Fulanas si uliiacha mji wa Kusoma ipigwe mnada?mbona tuna iona huko Tokyo kwenye Limo la babu?
ReplyDeleteMdau wa Tue Apr 13, 02:11:00 PM umetoa maoni yako na ninayaheshimu kama maoni yako. Umetoa wito tuwe wazi hivyo nawa wazi.
ReplyDeleteUkumbuke kwamba wapo wengi ambao hawaoni umuhimu wa kukumbatia kitu cha kigeni kutoka mashariki ya kati ulichokiita maandiko wakati wana imani zao ambazo zimekuwa zikiwafaa siku zote. Si sahihi kuita imani zao 'mila potofu' bila kuwa na njia ya kisayansi ya kudhihirisha kwamba njia unayoiamini wewe ni sahihi kuliko anayoiamini mwenzio. Mambo kwa mifano, mfano kama ingekuwa ni suala la mtu asiyetaka kunawa mikono kabla ya kula kwa sababu ya imani fulani unaweza kusema hiyo ni mila potofu kwa sababu unaweza kuonyesha kisayansi madhara ya kutonawa mikono.
Watu wanakufa kwa ajali wakitokea kila sehemu. Ni rahisi zaidi kukumbuka inapokuwa wametokea makaburini kwa sababu zinaripotiwa zaidi. Kuna watu wanafariki wakiwa njiani kwenda kuwaona wagonjwa wao hospitalini, wakiwa njiani kwenda kazini, wakiwa kazini, wakiwa wamelala, wakiwa wanananihii nk. Huwezi kusema kwa kuwa mtu alifariki wakati anananihii basi watu waache kunanihii.
HUO NDO UWANJA WA NYUMBANI WA WANYAMBALA? [TUKUYU STAR] WALIWAHI KUWA MABINGWA WA TAIFA MWEEE MJI UNATOWABINGWA TAIFA NA UWANJA NDO KAMA HIVYO. ANKAL WEWE MIMI NILIDHANI NI MMATUMBI/MNDENGELEKO/MKWERE!!! KUMBE MNYAMBALA!!! KWANI TOKA NIKUJUWA NA MAPICHA YAKO DAILY NEWS, UHURU NA MZALENDO MIAKA HIYO YA 80 HADI LEO. NILIJUWA NI MPWANI
ReplyDeleteANKAL KACHEMSHA LELOOOOO LELOOOOOOOOOOO WATU WANATAKAK UJUWAK UHUSU FULANAAAAAAAAAAAZ KUMBE ILIKUWA CHANGA LAM ACHOOOOOOOOOOO DUH KUMBE MPAKA ANKO ANATURUSHA ILIKUWA APRIL FOOL NINI.
ReplyDeleteTanzania tunatakiwa tujivunie majina ya mikoa ua miji yetu hii mambo ya kubadilisha majina na kuita nchi za watu ki ukweli tunajivunjia heshima yetu.Nafikiri nchi zingine zinashindwa kuelewa tuna matatizo gani.Majina ya miji na mikoa yetu ni mazuri kabisa sioni ni kwa nini tusitumie hayo majina.Na mwenye barber shop kwa nini asitumie jina la rais wake nakuwekabendera yetu.Vitu vingine tunapenda kuharibu.Wenyewe marekani wanaheshimu sana Rais wao hawaruhusiwi kutumia jina lake kwenye biashara la sivyo wenyeji watakupa shida.
ReplyDeleteMdau hapo juu uliyetoa hoja eti kwanini tusifungue saluni na kuiita jina la rais wetu badala ya kuita jina la Obama.... Jaribu wewe kufungua saluni uiite jina la Rais uone kama utanyoa hata vichwa viwili kabla hujakamatwa.
ReplyDeleteNa wadau mnaoulizia ze-fulana nyie ndio watu mliopatwa leo na April foool ya tarehe moja?!! Ile ilikuwa siku ya wajinga.
Asajile
Wewe Richard acha kupayuka. Kwanza Wazungu wenyewe huwa wanatunza makaburi yao na kuyapamba mpaka yanapendeza. Ingawa hawatambiki, u huwa wanakwenda na kuongea na wafu wao kama bado wako hai, kwa sababu inawafariji. Wewe kama marehemu hawakuhusu, uendelee na mambo yako. Hao wenyewe unaojifanya kuwaiga wataona you are very rude to bad mouth the dead, or at least people who are grieving. Sijawahi kusikia mtu hapa akisemwa kwa kuomboleza marehemu. Hapa Marekani kuna sherehe nyingi tu za kukumbuka maraisi wao waliokufa, askari waliokufa vitani na kadhalika. Wacha nikupe another Western tip, "Mind your our own business!" We unajua Michuzi anaamini nini? Au huamini kuwa mtu mzima ana uhuru wa kufanya anachotaka mradi asivunje sheria. Mila potofu..negative..my foot!
ReplyDeleteWatu wanapiga kelele wee hata hawaelewi Michuzi kwanini anapaita Tukuyu (Tokyo) hili jina hajatoa Michuzi limekuwepo miaka nenda rudi kama huelewi kitu ni bora ukae kimya kuliko kurukia mambo na kuonekana wakuja tuuu. Unaandika ili nawe uonekane umo pia. Unavuma lakini hausikiki......
ReplyDeleteANKAL NAKUSHAURI NEXTIME UNAPOTAKA KULA MUA BASI USIUNGOE WOTE MPAKA SHINA
ReplyDeleteUNAPOTAKA KULA MUA UKATE KWA PANGA AU KITU CHOCHOTE KWA CHINI NA SIO KUUTOA NA MIZIZI YAKE
UKIUKATA INA MAANA KILE KISHINA KITAMEA TENA NA MAANKAL WENGINE WATAKUJA KUFAIDIKA NA MUA
ILA UKIUNGOA YANI KUUVUTA NA SHINA LAKE INA MAANA PALE HAPATOWEZA KUMEA MUA MWINGINE
ASANTE SANA KWA TWASIRA NA POLE SANA KWA KUONDOKEWA NA BIBI
MAY GOD BLESS HER
mdau wa mahaka kuu ya dunia.