Mbunge wa Wawi na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh. Hamad Rashid Mohamed (shotgo0 akiongea na Mbunge wa Mtama na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe (Mtama) na Mh. Basil Mramba (Rombo).
Mbunge wa Bariadi Mh. John Cheyo(kulia)na Mbunge wa Rombo Mh. Basil Mramba
wakitoka bungeni wakati wa mapumziko leo mchana
Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azzan (shoto) na Mbunge wa Viti Maalumu Mh. Halima Mdee
wakinadilishana mawazo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kwela Mh. Christant Mzindakaya leo Bungeni




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hawala lolote hao, waongo watupu!
    wanajifanya wanajadiiiliiiiiii, kumbe wanajadili jinsi gani waiibie serikali tu;
    sasa wewe mwenye blog na usiiweke hii comment! we nae si ni wale wale tu!

    ReplyDelete
  2. Katika wazee ambao navutiwa nao sana ambao wanajali sana afya zao na wamejaliwa kuwa na miili iliokaa vema kabisa ni huyu Mzee Cheyo. Inaelekea hata wakati wa ujana wake alikuwa kivutio sana. Embu muone alivyo sawia kabisa kiafya maana hakuna kitambi cha bia wala cha wanga hapo na afya murua kabisa. Big Up Mr. John Momose Cheyo ONYESHA MFANO KWA VIJANA kuwa kuwa na hela si kujiachia ovyo kimwili. Afya ni jambo la muhimu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...