Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo(kulia) akibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhan Khijjah (katikati) pamoja na Naibu Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Clifford Tandari( kushoto) mara baada ya uzinduzi wa mchakato wa majadiliano ya Mpango wa Kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzania(MKUKUTA) ambazo zoezi hilo limeanza jana na linaendelea nchini kote.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo(katikati) akibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Busega wilayani Magu, Mkoani Mwanza, Dk. Raphael Masunga Chegeni(kushoto) pamoja na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Lucy Owenya ( kulia) mara baada ya kumalizika kwa kukusanya maoni ya wabunge juu mchakato wa majadiliano ya Mpango wa Kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzania(MKUKUTA) ambazo zoezi hilo limeanza jana na linaendelea nchini kote.Lucy owenya.(Picha na Tiganya Vincent/Owen Mwandumbya wa Bunge)


LETS GIVE CREDIT WHERE.....
ReplyDeleteAnkal,
Naomba nichukue fursa hii kwa kumpongeza PR officer wa ofisi ya bunge, kama sikosei atakuwa ni Owen Mwandumbya.
Huyu mtu ametokea kunivutia kwa jinsi anavyojua kutumia opportunities alizonazo ndani ya uwezo wake.
Sitaki kusema mengi sana leo lakini nadhani wenye akili timamu wataelewa nasema nini.
Hawa ndio ma-PR wanaostahili kushika nafasi ktk ofisi za serikali na taasisi zake. Waliobakia wanalala au wanafanya kazi bora liende
Mdau Kilimahewa
Anon hapo ulieelewa, hebu tufafanulie na sie wengine ambao tupo mataa kiasi. What is the hidden meaning?
ReplyDeletemhh we unaongea una uhakika na unachokisema.tunahitaji ma-PR wa aina hii lakina kuna matukio kibao mazuri huyo Owen wako ameyamiss. consistency muhimuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteDuh,
ReplyDeleteLucy Owenya nae si haba.