Jiunge na Vodacom Tanzania sasa hivi na uongee chini ya robo shilingi kila unapojiunga na CHEKA TIME ya Tsh 200 au Tsh 500. Kujiunga na CHEKA ya Tsh 200, piga *147*05# na kwa kujiunga na CHEKA ya Tsh 500, piga *147*07# na uongee siku nzima isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4 usiku kila siku Jumatatu hadi Jumapili na siku za sikukuu.CHEKA TIME: ONGEA CHINI YA ROBO SHILINGI

Vodacom,
ReplyDeleteWhy is it that Cheka 500 and cheka 200 does not work. it is a week now every time i try to subscribe it does not work.
Checka nusu shiling ni kiasi gani maaana sasa walaji mnatujali
ReplyDeleteVodacom mnatuibia CHEKA ya 200 na 500 haipatikani mnatuambia tujiunge na ya elfu 2 au elfu 5 wizi mtupu tumewashitukia tutabaki na Tigo ndio mambo yote. Najua Michuzi utabana ila Habari ndio Hiyo
ReplyDelete"""""""uongee siku nzima isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4""""""
ReplyDeleteAcheni fix... hiyo siyo siku nzima.. Tigo thumni ni mambo yote!!!