Habari za leo mkuu, katika jitihada zetu za kuwaburudisha watanzania wote popote walipo,tunawaletea Clouds FM na Choice FM live katika tovuti yetu ya bongo5.com

Zinapatikana kwa kutumia link hiyo:
blog&id=136&Itemid=266&lang=sw
Luca

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hii kitu nimeingia ina powerful spyware virus called Troj/JSRedir-AR. Huwezi kuidetect mpaka uwe na powerful anti-virus

    ReplyDelete
  2. Ebwana hii imetulia sana na mimi nawapa Pongezi sana kwa hilo ila clouds haisiki kabisa.
    East africa iko poa ila pia angalieni maana inakatika katika.

    ReplyDelete
  3. Pongezi ila haziko stereo!!!!!

    ReplyDelete
  4. thanx,nimeregister lkn site kuipata tena kimbembe, cjui imekaaje hapa

    far east

    ReplyDelete
  5. mnatuzingua mbona haifanyi kazi, mara ya mwisho mlifanya hivi hivi ah

    ReplyDelete
  6. yaaaaaaaaaani BIG UP KUBWA SANA,TENA SANA WAKUBWA HUKO NYUMBANI TUNATAKA MAMBO TA UTANDAWAZI KAMA HAYA SASA.SAFI SANA.

    ReplyDelete
  7. Habari njema, ila website mbona haiko hewani?

    ReplyDelete
  8. Jamani nimesoma habari kuwa kuna jamaa mkoani Kilimanjaro wamemtapeli mkuu wa Wilaya ya nanihii kwa kutumia jina la Waziri Membe. Yaani nimecheka ile mbaya kweli wabongo noma,wametafuta vitu vinavyopendwa na waheshimiwa kama (Kuku,Mafuta ya Alizeti n.k).

    Kwa taarifa soma:
    http://mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/983-jina-la-membe-latumika-kumtapeli-dc

    Mdau

    ReplyDelete
  9. Hongereni sana Bongo5. Mmetutoa gizani wapenda kusikiliza radio hasa walio ugaibuni, ingawa bado quality si nzuri sana, lkn huu ni mwanzo mzuri. Haya ndo mambo ya kuigwa na mpenda maendeleo yeyote.

    ReplyDelete
  10. NAISIKIIIIIA LIVE.... JAMANI RAHAAAAAAAAA....

    ReplyDelete
  11. Klaudz AddictApril 24, 2010

    Yaani hapa niko UKerewe naskiliza Clouds Live bila chenga! Yaani nakuwa kama siamini vile yaani, naona kama recorded lakini ukweli ni kwamba live. I hope TV nayo itakuwa online soon. YUUUUHUUUUU!

    ReplyDelete
  12. Watu wengine sijui wanakuwaga wamelewa wakiandika comments; sasa anon. wa kwanza simuelewi nia yake ni nini!

    ReplyDelete
  13. tunasubiri tbc1 itv na zinginezo waingie online good for business bongo5 keep it up

    ReplyDelete
  14. Anon ya Sat Apr 24, 06:10:00 PM nakushauri ufute cache, cookies na temporary internet files za browser yako. Bongo5 mpya haina kirusi hata kimoja, washikaji wanajituma sana kuhakikisha ubora wa tovuti yao. Big up guys, asanteni kwa kutuletea mambo mazuri.

    ReplyDelete
  15. HII WEBSITE ITAUA PC ZENU! KUNA VIRUSI VYA KUTISHA HUMO!!

    ReplyDelete
  16. kama nyie mmeshindwa kuendesha site zenu msitake kumuharibia jamaa kwa kumtangazia mambo ya virusi mbona norton yangu haijadaka kitu wakati ni kali sana? acheni uzushi jamani sie tunahitaji vitu kama hivi, kuwa na umoja na ushirikiano!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...