Habari za leo mkuu, katika jitihada zetu za kuwaburudisha watanzania wote popote walipo,tunawaletea Clouds FM na Choice FM live katika tovuti yetu ya bongo5.com
Zinapatikana kwa kutumia link hiyo:
blog&id=136&Itemid=266&lang=sw
Luca
Luca
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kitu nimeingia ina powerful spyware virus called Troj/JSRedir-AR. Huwezi kuidetect mpaka uwe na powerful anti-virus
ReplyDeleteEbwana hii imetulia sana na mimi nawapa Pongezi sana kwa hilo ila clouds haisiki kabisa.
ReplyDeleteEast africa iko poa ila pia angalieni maana inakatika katika.
Pongezi ila haziko stereo!!!!!
ReplyDeletethanx,nimeregister lkn site kuipata tena kimbembe, cjui imekaaje hapa
ReplyDeletefar east
mnatuzingua mbona haifanyi kazi, mara ya mwisho mlifanya hivi hivi ah
ReplyDeleteyaaaaaaaaaani BIG UP KUBWA SANA,TENA SANA WAKUBWA HUKO NYUMBANI TUNATAKA MAMBO TA UTANDAWAZI KAMA HAYA SASA.SAFI SANA.
ReplyDeleteHabari njema, ila website mbona haiko hewani?
ReplyDeleteJamani nimesoma habari kuwa kuna jamaa mkoani Kilimanjaro wamemtapeli mkuu wa Wilaya ya nanihii kwa kutumia jina la Waziri Membe. Yaani nimecheka ile mbaya kweli wabongo noma,wametafuta vitu vinavyopendwa na waheshimiwa kama (Kuku,Mafuta ya Alizeti n.k).
ReplyDeleteKwa taarifa soma:
http://mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/983-jina-la-membe-latumika-kumtapeli-dc
Mdau
Hongereni sana Bongo5. Mmetutoa gizani wapenda kusikiliza radio hasa walio ugaibuni, ingawa bado quality si nzuri sana, lkn huu ni mwanzo mzuri. Haya ndo mambo ya kuigwa na mpenda maendeleo yeyote.
ReplyDeleteNAISIKIIIIIA LIVE.... JAMANI RAHAAAAAAAAA....
ReplyDeleteYaani hapa niko UKerewe naskiliza Clouds Live bila chenga! Yaani nakuwa kama siamini vile yaani, naona kama recorded lakini ukweli ni kwamba live. I hope TV nayo itakuwa online soon. YUUUUHUUUUU!
ReplyDeleteWatu wengine sijui wanakuwaga wamelewa wakiandika comments; sasa anon. wa kwanza simuelewi nia yake ni nini!
ReplyDeletetunasubiri tbc1 itv na zinginezo waingie online good for business bongo5 keep it up
ReplyDeleteAnon ya Sat Apr 24, 06:10:00 PM nakushauri ufute cache, cookies na temporary internet files za browser yako. Bongo5 mpya haina kirusi hata kimoja, washikaji wanajituma sana kuhakikisha ubora wa tovuti yao. Big up guys, asanteni kwa kutuletea mambo mazuri.
ReplyDeleteHII WEBSITE ITAUA PC ZENU! KUNA VIRUSI VYA KUTISHA HUMO!!
ReplyDeletekama nyie mmeshindwa kuendesha site zenu msitake kumuharibia jamaa kwa kumtangazia mambo ya virusi mbona norton yangu haijadaka kitu wakati ni kali sana? acheni uzushi jamani sie tunahitaji vitu kama hivi, kuwa na umoja na ushirikiano!
ReplyDelete