.JPG)
Mkurugenzi wa masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa akiongea na wanahabari kuhusu droo ya mwisho ya kupata mshindi wa safari ya kwenda kushuhudia fainali za kombe la fifa la Dunia 2010 nchini Afrika ya kusini Bw. Joseph Mtandika katika draw iliyofanyika katika duka la Shoppers Masaki jijini Dar.
Benki ya CRDB jana ilifanya draw ya mwisho na kupata washindi wawili zaidi waliojishindia ticketi za kwenda kushudia kombe la Dunia Afrika kusini.
Katika draw hiyo walioibuka na tiketi za kushudia kombe la dunia ni:
1.Asha Issa Omary
2.Joseph Edward Mtandika
Walioshinda LCD TV zenye kingamuzi cha DSTV ni
1. Gemma Gatwell
2. Mukami Kairuki
3.Olimpio Felgenda
.JPG)
Mkurugenzi wa masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa akisimamia mchakato wa droo ya mwisho ya mshindi wa safari ya kwenda kushuhudia fainali za kombe la fifa la Dunia 2010 nchini Afrika ya kusini iliyofanyika katika duka la Shoppers Masaki jijini Dar
.JPG)
Mdau akichakura makaratasi ya droo hiyo
.JPG)
Mkurugenzi wa masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa akiongea kwa simu na mshindi wa safari ya kwenda kushuhudia fainali za kombe la fifa la Dunia 2010 nchini Afrika ya kusini Bw. Joseph Mtandika katika draw iliyofanyika katika duka la Shoppers Masaki jijini Dar.
.JPG)
Mkurugenzi wa masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa akiongea kwa simu na mshindi wa safari ya kwenda kushuhudia fainali za kombe la fifa la Dunia 2010 nchini Afrika ya kusini Bi. Asha Issa Omary
Ankal na wadau, msaada tutani. Nani anaifahamu general line ya CRDB? Mi napiga 0222134400 bila mafanikio. Namba za kwenye site yao nazo hazina majibu. Kuna anaeweza okoa jahazi hapa? Shukran.
ReplyDeleteTHIS MADAM TULLI IS BEAUTIFUL OOOH! HEY!
ReplyDelete