Home
Unlabelled
dayati za tokyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal mimi nimependa sana hiyo picha ya hapo juu ya dada...classic beautiful sister.
ReplyDeleteHapanilipo ni asubuhi hakafu unatuonyesha huo mle. Haya sio mambo mazuri kabisa ukizingatia nimepata oatmeal na glass ya juice kwa breakfast......Sasa haya mambo yatanifanya nikanunue copycat ambayo najua fika haitanoga kabisa kama hiyo lakini kuosha moyo lazima nile wali, kale greens na samaki leo.
ReplyDeleteMsaada Ankal, hivi wanyakyusa parachichi kikwetu ni KATAPELA AU TAKAPELA?
ReplyDeleteuninitamanisha na hao samaki ,ugali, wali, na mboga za majani.
ReplyDeletehizo ni ngunyani au figiri. mwe kumyitu kutukuju.
Watutamanisha nasi tuende Tokyo !
ReplyDeleteDuh msossi nautamani ???nimechoka na macarone and cheeze
ReplyDeleteAnko
ReplyDeleteKwa wenzangu na sie tuliokua mbali na nyumbani haya ni mateso kwenda mbele. Maana huku kila msosi ushapitia kiwandani basi balaa tupu.
Tanzania ni bonge la nchi ila basi tu......
Mkuu hii "DAYATI" umenirudisha katika makuzi yangu ya vijini kwetu mwambao wa pwani ya kisarawe,manerumango,palaka mpaka kidugalo "Menu" ya mchana ilikuwa ndiyo hiyo,hapo pembeni ya mchicha / kisamvu kuna ndimu na pilipili.
ReplyDeleteJioni kulalia chai ya rangi na chapati,yatatoweka mengi mwambao wa pwani lakini mila na jadi zetu za dayati hazitotoweka.
Mickey Jones
Denmark
dah!mambo yetu hayo TKY...nimepamiss saaaana.....
ReplyDeletePicha ya 3 na 4 kiboko, umenikumbusha mbali sana.
ReplyDeleteGoddam, kutizama picha za samaki, ugali wali, mchicha mate yamenitoka! Dah!
ReplyDelete