Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi nchini balozi Athmani Mhina akimkaribisha makamu wa Rais Dk Ali Mohamed shein katika ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma ambapo Dk Shein alifungua mkutano Mkuu maalum wa Jumuia ya wazazi leo.
Pich na mdau Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jumuiya ya wazazi ya CCM

    Inabidi hivi vyombo vianze kujiengua na kujua kuwa kuna vyama vingi. Hivyo tujue kipi ni cha ccm na kipi ni cha serikali...

    Wakati wa chama kimoja it was okay lakini now hii vijana, wanawake wazazi bado wanarun CCM kwa hiyo wanawaacha watu wengine ambao sio wanaCCM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...