Prodyuza wa filamu mpya ya Lovely Gamble Da'Asha Baraka akionesha DVD za filamu hiyo ambayo katangaza leo kwamba itaanza kuonekana hapa nyumbani baada ya uzinduzi maalumu April 28, 2010 kwenye ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar
Da'Asha Baraka (kulia) akiwa na stelingi wa Lovely Gamble supa staa Steve Kanumba (kati) na afisa wa usambazaji wa filamu hiyo leo wakati wa kikao chao na wanahabari katika klabu cha Much More jijini Dar.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Prof: PETER NALITOLELAApril 21, 2010

    MIMI NILISEMAGA TANGU MWANZO KWAMBA ALUMNI WA MUZUMBE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO NI WATU AMBAO WAKO JUU SANA NA NI MAKINI MNO KWENYE KAZI ZAO. ONENI DHE GRETI STIVINI KANUMBA AMBAYE NDIYE JINIASI TENA STERINGI MKUU WA SINEMA TANZANIA. ONENI ANKAL NANIHII WA NINIIII AKIENDA UKEREWE KILA SIKU ANVYOMWAGA KIINGERELZA TENA KIKALI KULIKO ILE YA NABII NANIHII NA KUTUHABARISHA. ONENI NABII YOHANA MASHAKA JINIASI WA WOSTRITI, NA JK AMBAYE NDIYE MUKUU WA KAYA WA TANZANIA. SISI WATU WA MUZUMBE TUKO MAKINI SANA NA KAZI ZETU ZINAONEKANA KWENYE JAMII NZIMA BWANA. TUKO JUU HII LOVELY GAMBLE INAONYESHA MUZUMBE ILIVYOJUU. SASA HIVI JK ANAKULA KUKU KWENYE AC BARIDI HUKO NYIW-YOKI, NGOJA NABII TITO NAYE ACHUKUE ATAMU PALE TBL. ALAFU ANKAL MIMI NINA INTATENI GLOBU YA JAMII SASA KWA NINI KOMENTI ZANGU NYINGI UNAFUNGIA KAPUNI BWANA? MIMI SIJATUKANA MTU SISI TUNATUMIA TU UHURU WA KUCHANGA MAWAZO BILA KUVUNJA SHERIA KAMA THE GRETI KANUMBA NAVYOFANYA PALE KWENYE SENEMA ZAKE. BWANA NITRTITI KAMA ALUMNI WA MUZUMBE MWENZAKO

    ReplyDelete
  2. Hongera dada Asha Baraka. nakumbuka sana harakati zako wakati ukiwa Tabora Girls na mimi nikiwa Tabora Boys! Ninashukuru kwa kuwa unaendelea kuonyesha dhamira zako pamoja na juhudi zako zina onekana. Keep on my sister!!

    Mdau CH

    ReplyDelete
  3. WEWE PETER NALITOLELA UMETUMWA? MAANA HUELEWEKI.....FAKE KABISA WEWE!

    ReplyDelete
  4. wizi mtupu

    ReplyDelete
  5. kanumba na ray wanapaswa kupumzika sasa katika hali halisi huwezi kucheza filamu nyingi hivyo kwa muda mfupi acheni tamaa

    ReplyDelete
  6. I second the anony april 21, 04:23:00 pm na jinsi wanavyocheza nyingi kwa muda mfupi ndio jinsi zinakua na poor quality.Zinakua kama mchezo wa radio tofauti ni kuwa ule tunasikiliza kwenye radio na hizo zinawekwa kwa DVD

    ReplyDelete
  7. Baba UbayaApril 21, 2010

    mdau unaitaka kina Kanumba kupumzika,je unataka waje kula kwako?hizo muvi zenyewe cnahakika kama zinalipa kwa sana.wasanii wengi bongo hawanufaiki kwa sana kutokana na kazi zao sasa ukisema wapumzike hapo itakuwa kizaazaa.
    waache wakamue 2 kwani hali halisi ya wasanii we2 c "tambarare" kama wasanii wa ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...