Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa ridhiwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KIJANA WA RAIS NA MTOTO WA MUKUU WA KAYA AMBAYE TUMEGRAJUETI NAYE KULE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA MUZUMBE CHA KULE MOLOGOLO HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA, TUNASUBIRI TU SIKU YAKO UTAKAPOTINGA KWENYE IKULU MWENYEWE TUKIONGOZWA NA NABII YOHANA MASHAKA WEWE UKIWA MAKAMU WA RAIS WA 2015, KWA HIYO KULA KEKI KUBWA ILI AKILI ZIONGEZEKE KABLA YA KUSIMIKWA KAMA SHY ROSE BANJI ALIVYOSIMIKWA KULE NANIHII... UNAJUA TIMU YENU YA 2015 NI YA MAJINIASI TU. ANKAL MITHUPU NI WAZIRI WA HABARI, KANUMBA STIVINI WAZIRI WA MICHEZO, NABII YOHANA MASHAKA RAIS, DAKITARI SHAYO WAZIRI MUKUU, WEMA SEPETU WAZIRI WA ULIMBENDE. ANKAL MISUPU, UNAJUA MIMI NA WEWE TUMESOMA CHUE CHETU KITUKUFU CHA CHUO KIKUU CHA KULE MUZUMBE CHA KULE MOLOGOLO, ULIKUWAGA MUTU MAKINI SANA, NA KAMA UNAVYOJUA HATA MIMI NILIKUWAGA MOTO WA KUOTEA MBALI, TUKIWA NA STERINGI WA FIRAMU TANZANIA, THE GREAT STIVINI KANUMBA, JINIASI NABII MTAKATIFU YOHANNA MASHAKA WA WOSTIRITI, MKUU WA NBA HASHIMU THABITI WA D-LIGI NA PIA DAKITARI HIDEBANDI SHAYO SASA SIJUI UNABIANGA KOMENTI ZANGU MKUU. NILIWAHI TU KUSEMA KWAMBA SIKU HIZI GLOBU YA JAMII INABOA KUTOKANA NA PICCHA ZA TBL NA VODAKOMU, ILA BASI NIMEHACHA KUWAKANDIA KUTOKANA NA SHINIKIZO LAKO MKUU.MIMI NATAKA GLOBU YETU IRUDI KWENYE HADHI YAKE YA KUSISIMUA YA WAKINA NABII NA KANUMBA BWANA, WALE UNAJUA UKIWEKA SIKU HIYO HATA KIPOFU ATASOMA GLOBU YETU, SIKU HIYO HATA KIZIWI ATASIKIA, YANI UKIWEKA DAKITARI SHAYO, KANUMBA NA NABII YOHANA HATA NA NABII TITO, SASA UKITAKA KUONA MUAMSHO WA KARNE MPYA MUWEKE PROFESA PETER NALITOLELA UTAONA UHAMASISHAJI MKUU WA KAYA
ReplyDeleteMTIIFU.PETER NALITOLELA WA GLOBU YA JAMII
kila la kheri Ndugu yangu Mungu akuzidishe Maarifa Unakuwa kaka tunakutegemea watu wako Mahsen
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY RIDHWAN, GOD BLESS.
ReplyDeleteHappy Birth day Ridhiwani...
ReplyDeleteIla umefanana na Maulid wa kitenge....
mbona wote wamefanana, ni mapacha hao
ReplyDeleteYaani watoto wa raisi wamefanana na baba yao sana...Duhhhh ...Alivyokua kijana ilikua si sana lakini the more anakua baba na the more anafanana na baba yake
ReplyDeleteHappy Birthday
ReplyDeleteWOW!! NICE COUPLE, NAPENDA ALIVYO NA MKEWE, SOOO LOVELY, SIKUJUA KAMA WANA MTOTO TAYARI!!! NAONA MAMBO MBIO MBIO, HARUSI SI JUZI TU JAMANI? AU NDIO WASHAENJOY UJANA, MAANA WAKIANZA KUJA HAWA JAMAA NI KASHESHE. ANYWAY ALL THE BEST, MMEPENDEZA SANA, BIRTHDAY BOY COPY YA MHESHIMIWA, UTAFIKIRI MAPACHA!!! SOO LOVELY.
ReplyDeleteUS- Blogger)
ReplyDeleteKwanza hongera Ridhiwani
Kusema kweli nakubaliana na Peter Nalitolela wa Muzumbe ya kule mologolo kwa mba Nabii tumemmisi sana.
Kusema kweli, Nabii Yohana Mashaka anachangamsha hii globu, akiwekwa hata kwa siku moja, globu inapendeza sana hasa kwenye mabishano endelevu ya wadau.
Michu, tunaomba basi unampaga nabii hata nafasi kutuchangamsha hata mara moja kwa mwezi. ni muda mrefu sana sijamuona na kama vile ninawashwa kwa maana hakuna wa kupingana naye, humu ndani vichwa ni kama vya nalitolela, kwa hiyo sina wa kubishana naye au mwenye mada za maana
Ikishindikana ufungue mada zake za zamani ili tuyajadili tena kwa maana taifa ni endelevu vile vile
US-Blogger
Mimi nabii tito nampongeza Ridhiwani, ila tu namuomba aoe wanawake wengi, ndo tuendelee. Usisikie ya wakina Nalitolela waliolewa, wanakunywa bila ya kipimo
ReplyDelete@peter nalitolela, haki ya nani we msomi wa muzumbe au profesa wa muzumbe tunakuhitaji sana, sina mbavu. @michuzi, bwana tuletee makala za jon mashaka, ni kweli zinachangamsha jamvini hizi picha zimeanza kutuboa, kidumu globu ya jamii
ReplyDeletewe peter nalitolela umepinda kinoma yani huko mzumbe ya kule mologolo walikoma enzi zako tuhitaji picha yako tukuone tuu, happy besdei ridhwani mwanao bonba kweli
ReplyDeleteProf. Peter Nalitolela wewe kiboko.
ReplyDeleteNabii Tito tafadhali leta mahubiri mapya ili waumini tukisikie.
(US Blogger)
Too local!!!!!
ReplyDeleteHapo Kitenge mbona hukutoka kama kawaida yako?hata casual tu huwa wapendeza lakini leo mhhhhh.... sijui ulichelewa kualikwa au ulifukuzia bila kualikwa!
ReplyDeleteUs blogger number three,
ReplyDeleteKwanza napenda kujitambulisha kuwa mimi ni US blogger number 3, kuanzia leo nitapeleka mashambulizi mbele kumtetea Rais mtarajiwa John Mashaka a.k.a Obama wa bongo 2015
Hongera Ridhiwani, Urais wa TZ sio wa kuridhiwa hivyo sisi Wananchi tunamtegemea mkombozi-messiah John Mashaka 2015