JK akizungumza leo asubuhi na Mbunge wa Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kuugua shinikizo la damu juzi akiwa bungeni mjini Dodoma katikati ya wiki hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera sana mheshimiwa Rais kwa fadhili-upendo zako.Uamuzi wako wa kumtembelea mheshimiwa mbunge hospitalini ni upendo mkubwa sana na unaiongezea hadhi Hospitali yetu ya Taifa kuwa ipo kwa kuhudumia viongozi wa taifa na raia wake wote bila ya kujali nafasi zao katika jamii.
    Pole sana mheshimiwa mbunge wetu wa Vunjo na tunasema:"UGUA SALAMA"

    ReplyDelete
  2. POLE MH.KIMARO MUNGU AKUJAALIE UPONE HARAKA NA KUREJEA KATIKA SHUGHULI ZA BUNGE KAMA KAWAIDA,KILA LA KHERI INSHALLAH!SAYZ Haji,diadolla@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  3. Pole sana mzee mwenzangu Kimaro. NakuombeA AFYA NJEMA, upone haraKA ili uje tupambane kule Vunjo katika ubunge.

    Ni mimi AUGUSTINO LYATONGA MREMA

    ReplyDelete
  4. Michu unatuchanganya Juzi ulisema kapatwa na kiharusi leo ni shinikizo la damu kipi ni kipi?

    ReplyDelete
  5. Dear Honorable Benti Kimaro get well soon.

    by mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  6. Wewe Advocate Jasha, unataka rahiis mueshimiwa atembelee wagonjwa walalahoi kwenye wodi zinazonuka? Akipata mafua jee? Huoni itakuwa gharama ya kumpeleka nje kwa matibabu?

    Kitendo cha rahiis kumtembelea huyo mheshimiwa inawakilisha wagonjwa wote kwa kuwa nchi yetu haina ubaguzi, hakuna matabaka, umesikia? Umeelewa wewe Advocate Jasha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...