JK akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Africa ya Kusini nchini,Mh. Thanduyise Henri Chiliza katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.anaeangaliwa kati ni Mkuu wa Itifaki Bw. Anthony Itatiro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uncle mbona watupa kiswanglish? ungeandika south africa au Afrika ya Kusini sio Africa kusini!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...