MC Njelekela alisherehesha send off ya Patricia ukumbi wa Kiramuu jijini Dar
mdau johnson mshana na patricia komanya wakitabasamu mara baada ya kumeremeta wikiendi hii katika kanisa ka KKKT Mbezi Beach, Dar na kufuatiwa na mnuso wa nguvu Mlimani City. Bw. harusi anapiga boxi Bank M wakati Bi harusi yuko nanihii.
Picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani Patty! Yaani umenipiga bao? Haiwezekani! Hongera sana saana. Natumai uliingilia na ule wimbo wetu wa ... Mungu Yu Mwema ...., maana natumai zile practice hazikuwa za bure.

    Nakutakia maisha mema yenye furaha!

    Ni mimi mpiga Boxi mwenzako wa zamani pale Benki ya Nanihii.

    ReplyDelete
  2. nimecheka sana eti bi harusi yuko "nanihii" nini?

    maana kisipotajika either fisadi au shushushu

    kazi kweli,ila mmependeza sana

    ReplyDelete
  3. Jamani MC njelekela I wish nipate contact zako, nakukukumbuka toka church ya Mbezi, but nitakutafuta tu, wow sijuui kama unasomaga humu anyway. good to see you , and to know you are doing good

    Hongera maharusi

    ReplyDelete
  4. Bwana Johnson, Mmependeza Kweli Kweli..Nawatakia Maisha bora ya ndoa yenu, hadi ukamilifu wa Dahari....Ni mimi Nyangusi Ndukai

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...