Huu ni mtaa wa Narung'ombe eneo la Kariakoo jijini Dar.
Nyumba za kienyeji zilizosalia mtaa wa Narung'ombe


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. JE, Majengo hayo ni SALAMA???

    Tumeshuhudia wananchi wa Chile na Haiti walivyofukiwa na majengo hafifu ki ubora kama hayo ya Kariakoo.

    Siku TETEMEKO likipita Dar, kwa kweli patakuwa hapatoshi!!

    ReplyDelete
  2. Concrete Jungle

    ReplyDelete
  3. KWA KWELI NINASHINDWA KUELEWA tANZANIA YETU NIKAMA ATUNA WASOMI AU KWAMBA HATUONI HAYO MAGOROFA HAPA KARIAKOO YALIVYO SONGAMANA HAKUNA PAKINGI ZA MAGARI VYOO KUTWA VINA ZIBA SASA SERIKARI YETU NAYO IMELALA USINGIZI MPAKA HAYO MAGOROFA YADONDOKE SIJUI NI USALAMA GANI HUU

    ReplyDelete
  4. Hiyo ndio kariakoo angalia barabara ilivyokuwa finyu hata parking ya magari hakuna nafikiri mji wetu hauna planers wazuri. Ikubuke kwamba kariakoo ilikuwa ni residential area na sio business area mie nashauri kariakoo ingehamia nje ya mji.

    ReplyDelete
  5. Du nimekumbuka mbali sana huu sindio mtaa alio kua anaishi marehemu rafiki yangu hamisi kasanga ?

    ReplyDelete
  6. WEE ANON WA KWANZA HAPO MBONA UNALETA MALALAMIKO YASIYO NA MSINGI, HIVI MTETEMEKO WA ARDHI ULIOTOKEA HUKO ULOKOKUTAJA UNAUJUA AU MAGAZETI TU, KWANI ULE WA HAITI UKITOKEA MANHATTAN NDIO KUTAKUWA NA USALAMA? AU WA CHILE UKITOKE A NAIROBI NDIO AFADHALI? HEBU TUZUNGUMZIE, MIONDOMBINU, VYOO, MAJI, PARKING, BARABARA, SASA HEBU ANGALIA HAKO KAJUMBA KA KIENYEJI KALIKO BAKI KALIKUWA KANA HITAJI, MTARO, GALONI NGAPI ZA MAJI KWA KUFLASH VYOO KWA SIKU, QUANTITY YA HAYO MAJI NA USAFI MWENGINEO, WAKATI UWEZO HUOHUO UNATUMIKA KWA
    MAGOROFA YOTE HAYO, ANKAL UTAKUMBUKA MIAKA YA MWISHO WA 80'S SISI WATOTO WA KARIAKOO TUNAKUMBUKA GHOROFA LILILOANGUKA MSIMBAZI KONA RUFIJI , HAYA MAJUMBA WALA HAYAHITAJI MTETEMEKO, SIKUMOJA UJENZI WA JIRANI UTAZIANGUSHA MOJA MOJA. TUZUNGUMZIE PIA MAMILIONI YA MAGARI WAKATI BARABARA ZILEZILE ZA ENZI ZETU.... OOHH BONGO FOLENI....
    KWELI KWETU TAMBARARE
    MUNGU IBARIKI AFRIKA
    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WALINDE WATU WAKE!!MDAU NUTRO KANADA

    ReplyDelete
  7. Aaah hakuna lolote hapo Migorofa ya Kariakoo hayo ni "disaster" tarajiwa tu, kwa mantiki ya kuwa ni "magorofa ya tope" kwani hayajengwi na contractors wenye ujuzi wala kuwa supervised na consultant wenye utaalamu wa majengo.

    Wee umeona wapi mtu anajenga jengo la ghorofa kumi enzi hizi eti zege inapandishwa na kibarua na karai kwenye kichwa:-). Nondo moja/au mbili kifusi tele:-) ndo ujenzi huo jama? Ujenzi holela tu! Na serikali na bodi za majengo zote ziko kimya lakini siku ya disaster (jengo limeporomoka) utasikia Rais kaunda tume kubaini chanzo:-) Bongo inachekesha wandugu.

    ReplyDelete
  8. No what nor what (hakuna nini wala nini) ushuuzi mtupu. jengeni nje ya mji ambako mtawapa nafasi city planners kufanya vizuri katika kupla ni uwekaji wa mbomba ya maji safi na taka, ugavi wa umeme, pakingi, pleigraundi n.k.

    ReplyDelete
  9. NARUNG'OMBE?....KAKA MICHUZI HEBU JARIBU KUFUATILIA,SAIGON YETU SI IPO MTAA HUU,IMESALIMIKA KWELI NA HUO UTITIRI WA MAGHOROFA,SASA SAIGON IMEHAMIA WAPI JAMANI CLUB HIYO MAARUFU YA WADARISALAMA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...