
MAREHEMU MZEE EMMANUEL KUYANGANA
Imetimia mwaka Mmoja leo tangu Mwenyezi Mungu alipo amua kukuita tarehe 22/4/2009.Ilikua ghafla mno na hatukuweza kuamini kilichotokea kwani ulituachia kumbukumbu isiyopotea.ila tunaamini japo haupo nasi kimwili lakini daima huu mioyoni mwetu.
Unakumbukwa daima na mke wako mpenzi Theresia Mbonela Kuyangana
Watoto wako Josephine Magwira Kuyangana,James E.Kuyangana,Janet Kuyangana Gwimile,Ester Emmanuel Kuyangana na Emmiliana Emmanue Kuyangana
Pia wajukuu zako Rodrick,Humhrey ,John,na Teddy,
Wakwe zako ndugu jamaa na marafiki kwa pamoja sote
tunakukumbuka.
Daima tutakukumbuka milele mpaka pale tutakapokutana mbinguni kwa baba.
Raha ya milele umpe bwana na mwanga wa milele umwangazie Apumziko kwa Amani !Amen
RI.P DADY
AMEN.
Poleni sana dears. Kweli ilikuwa ghafla sana. Na tayari imeshakua mwaka. Tuko pamoja katika kumuombea. Sifa ya pekee kwa mzee wetu alikuwa mvumilivu sana. Tuige mfano wake.
ReplyDeleteDada Blandina.
r.i.p baba
ReplyDeleteKWA PAMOJA TUENDELEE KUMUOMBEA NA MUNGU AENDELEE KUWATIA NGUVU MAANA TUNAAMINI IPO SIKU NA SISI TUTAKUJA ONANA TENA.
ReplyDeleteAMEN
NJEJE FREDY
Pole mshikaji James.ndo kwanza natapata habari hii.Its your former room mate(707) at IFM-the commander himself-holla me @ davidmckia@yahoo.com
ReplyDeletemdau CA-USA
Nikweli ilikuwa ghafla mno, hakuna ambaye aliweza kuamini, ila mwenyezi mungu alimpenda zaidi kuliko sisi wanae.Tumwombee kwa mwenyezi Mungu apumzike kwa Amani.
ReplyDelete(Raha ya Milele umpe ee Bwana..na Mwanga wa milele umwangazile,Apumzike kwa Amani..AMINA*3)
Kwa niaba ya Familia ya Mzee Shayo wa Magomeni Mapipa tunawapa pole familia yote ya Mzee Kuyangana.Tumwombee Mpendwa wetu.Hatimaye tukutane nae tena uwinguni.