




The world's youngest king assumed his official duties at a ceremony in a quiet town at the foot of Uganda's Rwenzori mountains. 18 year old Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV was crowned as head of the Kingdom of Toro in a traditional ceremony in his hilltop palace overlooking his capital of Fort Portal
Museveni naona anazeeka vibaya sasa. Hivi kweli jumuiya ya africa mashariki itaafiana kweli na shirikisho linalowaziwa?
ReplyDeleteMhuuuuuuuu!!! yetu macho
huyo mfalme sijui crown au kofia imembana sidhani kama anaweza kucheka lol!!!
ReplyDeleteLo bwana mithupu kumbe na wewe waiba kutoka youtube? Haya sasa wameblock na sasa sijui utawaelezaje wanalebeneke!
ReplyDeleteMdau # 4 hapa dunia siyo kama kila kinachofanyika kinapendwa na wote.Unaweza kutofautiana na jambo fulani kwa lugha nzuri bila kuonyesha hasira wala matusi.Tamaduni zipo mbalimbali hapa duniani lakini hakuna utamaduni mzuri kuliko mwingine.Tukitofautiana bila kupingana au kutukanana tutatoa mfano mzuri kwa jamii zetu na kupafanya hapa duniani pawe mahali pazuri pa kuishi.Hakuna aliyezaliwa na kuelewa haya,inasaidia sana kama ukipita shule.Bado hujachelewa.
ReplyDeleteKuna watu wana raha huku duniani. Yaani maisha yao yameshapangwa. Hamna cha kuhangaika na maCV wala nini. Hata buku ni optional. Fate is a good thing. Yaani hata dogo nae mfalme? Apigiwa saluti? Wallahi!
ReplyDeleteKumbukumbu zangu zinaonesha kuwa huyu Mfalme alirithishwa kiti hicho akiwa na umri mdogo sana kama miaka 3 au 4 lakini hakuweza kusimikwa kwa vile alikuwa hajafikisha umri unaostahili kukabidhiwa madaraka.
ReplyDeleteNakumbuka kufika nyumbani kwao pale Muyenga miaka hiyo ya nyuma.
Komenti nyingine zinaleta kero. Thanks kwa waliomjibu anonymous wa Thursday April 22, 1:25:00 AM. Mmemuonyesha kwa kiasi amekurupuka bila kujua anachokiandika.
ReplyDeleteNa anonymous wa 1 hapo, kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa kabila hilo na maafikiano ya jumuiya ya Afrika mashariki? Kwani wanaongoza serikali?
wewe annoy 01.25 ambaye unasema umeamini waafrica ni wapumbavu, kumbe wewe ndiye mpumbavu, leo nimeamini kuwa mtu mjinga bila kujua yeye ni mjinga ni tatzo kweli kweli.Niachane na huyo mjinga(ignorant about social anthropology of African people, your mind is still colonized).
ReplyDeleteHongera sana Rais Yoweri Museveni, it is an excellent move, to go back our roots. Some Africans like anny 01.25 have been turned into black skins, white masks using Fanon's words, they have been westernized and others Europeanized, we need to Africanize them once again, that is exactly what Museveni is doing, History will judge for better, Life president of Uganda, Kaguta Yoweri Museveni
anony wa namba 4 juu; acha kejeli mbona kuna uongozi wa namna hiyo kwenye nchi za magharibi? uingereza si bado wanaongozwa na queen ama sijui king? je uongozi huo una tofauti gani na ufalme wa kiafrika? afrika oyee!
ReplyDeletemkataa asili mtumwa, utajifanya muingereza sijui sababu una makaratasi ukatukana kwenu geuka nyuma hapo ulipo kuna kwini yeye nani? mamako mdogo?!
ReplyDeletestupidi!
Mimi ni Ann # 4..Naona comments nyingi zimekuwa za kihisia zaidi badala ya kuchambua tukio lenyewe. Nyote mlio comment mnaoneka hamjui vema historia ya bara la Afrika (Na ni watu mliopoteza mwelekeo. Na kama mngeilewa vema historia ya nchi nyingi za Ki africa mngeona kuwa SI BUSARA kufikiria kurudisha ufalme wa Ki makabila katika bara la Afrika. Wa-TZ tuna makabila 125, hivi kila kabila nalo liwe na Mfalme wake? na hapo hapo kuna serikali kuu? what a clash?
ReplyDeleteMiaka kama 3 iliyopita walimsimika mfalme wa Baganda (kijana yule alikuwa anaishi UK kwa muda mrefu)akarudi Uganda.Na mwaka jana tu Museveni akachafuana na serikali ya Libya akiituhumu kumpatia mamillioni ya pesa huyu mfalme ili ahujumu serikali yake. Hivyo those who are saying eti ni Ufamle wa "symbol tu" P'se don't let fool yourself? Ndivyo inavyoanza lakini mwisho wa mambo si hivyo na sote tunajua hivyo.
Ufamlme na Usultan hauna utofauti na udini. Iwapo Kiongozi wa nchi ana mapenzi mema na nchi yake, hawezi kulea mambo hayo wala kuipeleka nyuma nchi yake to those dark days.
Mfano wa pili, Kenya makabila hayana Mfalme na sisi sote tumeshuhudia sumu ya ukabila ilivyoangamiza mamia ya watu just recently, leo wakiruhusiwa rasmi warudishe Ufalme wa Kikabila,ati Mfalme wa Luo, wa Kalee (kalenjini), wa Kikuyu sijui kama ndio utakuwa unawanyia favour wa Kenya au unawaangamiza?
Wale waliozusha hoja za kuwa hata Ulaya wana Wafalme na malkia ni sa hihi kabisa lakini pia wana sahau kuwa Wa Afrika na wao tuna historia tofauti...hivi ni nani aliyekutana na mtu wa Ulaya (mzungu) akakwambia mimi kabila langu fulani? common now? Lakini leo ukituhumiwa na jambo lolote ukifikishwa polisi Tanzania moja taarifa zako unazoulizwa ni kabila na dini yako.
Naona tuna safari ndefu kama kizazi cha leo bado kina support mambo ya Ufalme/ U-Chifu wa Kikabila. Nilifikiri fikira zetu za kisomi zilizojikita katika picha kubwa ya Utaifa zaidi as One people One Nation.
Leo naamini kuwa watu wengi hawakumwelewa Nyerere alipo uondoa Uchifu( moja jamii ya Ufalme)mwaka 1963
Hebu amkeni nyinyi, acheni kumzogoma Annoy #4, Hivi nyinyi na akili zenu timamu
ReplyDeletemnona kurudisha mambo ya Ufalme ndio priority ya Afrika kwa sasa? Kama sio kuzidi kuleta division miongoni mwa watu nini? Ama kweli Afrika sisi tumepoteza mwelekeo, yote haya kwa benefit ya nani khasa? Nakuunga mkono Annoy #4 kuwa Wa Afrika ndivyo tulivyo bado tuko wajinga wajinga tu.
Anon wa 23: 2: 28, hiyo ngeli yako haijanyooka ndugu yangu. Sio common now, ni come on now. Pamoja na hilo, kuna vitu vingine vingi tu katika ngeli yako ambavyo havijanyooka.
ReplyDeleteWewe Anny 4, With due respect to your scholarship. I must be honest with you, your choice of words and the phrase like ’’to those dark days’’. This shows not only your deep depth of African social anthropology but also you have been alienated from your African root. You have been completely turned into what Fanano calls black skins and white masks, trying to imitate European life style. You insult your culture and you people, Your ignorance of African history partly contributes to your unsubstantiated claims about tribalism as if Africa, is a free continent, it is not, still engulfed by western capitalism, our development policies are manufactured in washington and Bongo corrupt political elite-just copy and paste them.You are the product of bourgeous scholarship,It is sad to say, you are using a wrong prism to view African society.You better, shut up your mouth because the more, you talk , the more you expose your ignorance.
ReplyDeletewewe anny 4 ni mjinga na mpumbavu squared, hujui historia ya Africa.
wewe annoy friday,23 04:00 wewe na wewe ni mjinga maana hujui lakini hutaki kuelimishwa, division Africa ilianzishwa na mkoloni tangia karne ya 15th mpaka leo karne ya 21st . Historia inaonyesha hii division imekuwa inatumia majina tofauti tofauti, sasa inaitwa utandandawazi(utandawizi), inaweka gap kubwa kati ya masikini na tajiri, Africa ilipata uhuru wa bendera hivyo bado kupigania uhuru wa kiuchumi, hatuwezi kupata uhuru wa kiuchumi kama concepts zetu na sera zetu zitaendelea kutumia lugha ya mkoloni ya kudharau mwaaFrica kuwa hawezi kujitawala,hana historia, hana philosophy,hana dini,dark continent, hivyo mzungu ndiye mkombozi, huu ni ujinga. kitu ambacho nyie mnaojifanya wazungu koko ni kwamba the traditional concept of life kwa Mwaafrica ino kwenye community na wazungu ipo kwenye egoistic tendency, these are two worlds altogether, therefore, kuleta uchifu sio kutaka kurudi kwenye machifu bali ndiyo njia mojawapo ya kujifunza kwa kizungu tunaweza sema ''African cultural sensibilities and philosophy towards life in general'' ili katika kutengeneze sera zetu za maendeleo tuweze kutumia falsafa za mababu zetu ambao nyie wasomi uchwara mnadhani hao walikuwa gizani kama ambavyo mmedanganywa na wazungu, poleni sana
ReplyDeleteNimefarijika walio toa comments wengi wanajua historia na heshima ya mwaafrica hivyo kupata majinga au wasaliti wawili sio tatizo.
Africa tulikuwa na dini whites-vitabu kibao tafuta ujielimishe
Africa-Africa tulikuwa na utawala before wazungu-
Africa tulikuwa na philosophy before wazungu
Africa tulikuwa na biashara, kama ilivyo ulaya maendeleo yalikuwa uneven
hongera museveni, hata mimi Tanzania nitaenda Tabora kufanya utafiti kuhusu hekima na busara za chief wa urambo wa Wanyamwezi ili niweze kuchangia ktk sera za maendeleo ya taifa langu.