Ankal!
Baba Tovu magoli hafungi sasa Kama anaweza kutoa mapepo atuambie tujipange foleni maana hata yale ya kuvizia anakosa siku hizi...
Mdau Oman
-------------------
MATOKEO YA PREMIER LEAGUE LEO
Arsenal 0-0 Man City

Bolton 2-2 Portsmouth

Hull 0-1 Sunderland

Man Utd 3-1 Tottenham

West Ham 3-2 Wigan

Wolves 1-1 Blackburn

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi huyu jamaa wa Oman anatuyeyusha, mwambie ache chuki binafsi. Huna haja ya kutupa matokeo kila mtu anaangalia mpira kwenye TV. Inaonekana umeondoka BongoLand karne nyingi LOL

    ReplyDelete
  2. chuki binafsi, namuoneshe hizo hila zenu kwenye mechi yenu na chelsea

    ReplyDelete
  3. acha ujinga wewe,kama kufunga basi DARREN BENT(sijui kama unamjua maanake uelewa wako wa mpira ni mdogo sana) angekuwa first choice england striker

    ReplyDelete
  4. Mhh!! ... kila mtu anaangalia mpira kwenye TV hapa bongo? Si dhani kama imeendelea kiasi hicho!!

    ReplyDelete
  5. Yaani huyu jamaa anayesema huwa 'Baba tov' Dimitar gafungi aache ujinga maana walisema kuwa Man U bila Rooney hawafungi,ona sasa Totenham wamewafunga Chelsea na Arsenal na wameshindwa kutufunga Man U bila Rooney.
    Naona jamaa hakuangalia jinsi Dimitar Berbatov alivyokuwa akipunguza mabeki na kutoa mapande yaliyoshiba.Ni mfumo wa kocha tu,Ferguson hupenda kila mchezaji aweze kuuchezea mpira na hana mfunguji maalumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...