
Sisi ni wabeba Box huku ughaibuni na idara yetu ya maboksi inamiliki ndege ya mizigo (pichani) yenye uwezo wa kubeba Tani 49 kwa mpigo. Tumefanya kazi nyingi za Ministry of Defence MOD kule Basra (Iraq) pamoja na Disaster emergency Committee DEC kule Haiti. Na sasa hivi tuna kazi ya FIFA 2010 kwenda Africa Kusini kutoka Ulaya.
Kwa sasa tunapeleka farasi South Africa halafu tukirudi tutabeba Machungwa na mihogo kutokea Nairobi. Tunajua kabisa kuna machungwa na vitu vingi sana vya ku-export vipo Tanzania. Hata kama itashindikana mtakuwa mashahidi kwamba nilijaribu na kuweka hii tenda
Maelezo zaidi nimeweka kwenye attachnent
MAOMBI YETU NI MAWILI TU
KUTUUNGANISHA NA WATU WANATAKA KUEXPORT FLOWERS AND ORGANIC PRODUCE OR ANYTHING FOR EXPORT ILI KU UTILIZE CARGO SPACES KWENYE NDEGE INAPORUDI ULAYA.
Maelezo zaidi nimeweka kwenye attachnent
MAOMBI YETU NI MAWILI TU
KUTUUNGANISHA NA WATU WANATAKA KUEXPORT FLOWERS AND ORGANIC PRODUCE OR ANYTHING FOR EXPORT ILI KU UTILIZE CARGO SPACES KWENYE NDEGE INAPORUDI ULAYA.
As it stands now, tutashuka Nairobi kuchukua Mizigo. tunadhani Tanzania pia kuna vitu vingi sana vya ku-export. Hivyo shime kwa wenye mwamko tuwasiliane tuangalie namna tutavyoweza kushirikiana.
PIA TUNATAKA KUWEKA MATANGAZO YA
KUVUTIA UWEKEZAJI NA UTALII TANZANIA
Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana
Email: info@swahilitravel.co.uk
Tel: +44 7932 088 488
Tel: +44 7896 702 705
Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana
Email: info@swahilitravel.co.uk
Tel: +44 7932 088 488
Tel: +44 7896 702 705
hii mbona haijakawa sawa? weka tovuti yako.
ReplyDeleteAnon wa Mon Apr 05, 01:09:00 PM
ReplyDeleteTovuti ya nini?, huyu jamaa ni mbeba box kaajiriwa na wenye ndege hiyo kutafuta tenda ili apate commission yake. Kwa taarifa yako bongo hupati kitu mpaka ujitambulishe kwa wshika mafaili na uwaeleze wao watanufaika vipi na kukupa wewe tenda?
Good idea
ReplyDeletehi inaweza kusaidia sana kama itakuwa endelevu maana sisi wadau wa kilimo kanda ya kaskazini tunapata shida sana kutegemea ndege za manati ha KIA na kucross border kwenda Jomo Kenyata ni cost, muda, na usumbufu wa mpakani, in brief hebu wasiliana na chama cha exporters TAHA ( just google their website) arusha watakupa in detailled information. asante
ReplyDeleteNimeona tovuti yao inajengwa....ila nawapongeza sana hata hapo mlipo duu!!naupenda sana ujasirimali kama huoo...kupitia blog jamii aah mtapata kazi nyingi tu hasa arusha maua design...ingawa nasikia wana ushuru mkubwa sana heri muwe mnapakilia hk hk nairobi...kia noma
ReplyDeleteAnonym 01:09 wa April 05. Unapoona info@swahilitravei.co.uk inaashiria kuwa kuna tovuti fulani hapo hapo...nakushauri ujaribu www.swahilitravel.co.uk utaona kuwa wako katika kazi ya kutengeneza hiyo tovuti unayoulizia...nadhani nimekusaidia kwa kadri niwezavyo. Ikiwa bado, basi wasiliana na hao swahili travel katika anuani ya barua pepe waliyotupatia katika tangazo lao.
ReplyDeleteTovuti ya nini mbona watz wabishi. Amekupa email inayoeleweka na namba za simu. What else do you people need? Kama huna cha ku-export kaa kimya wajanja wachape kazi.
ReplyDeleteWADAU WA UK TUELEZENI. HIZI SIMU NI ZA MOBILE AU LANDLINE?? TUWEKANE SAWA KWANZA..
ReplyDeleteMimi
Web sawa lakini hiyo Website mbona kama inahusu mambo ya Tours tu ya Tanzania,?? mi nahisi kuna jambo hapo huyu anajidai tu, yaani wazungu nao akili zao ni matope au?
ReplyDeleteAnon 08:49 sasa huko kujidai unamaanisha nini
ReplyDeleteHao wazungu unaowatukana wamukosa nini ?
Kama wangekuwa na akili za matope wangewatawala ?
Labda nyie ndio wenye akili za matope hata umeme wa uhakika unawashinda
Watu wengine bwana sasa hao wazungu wanahusika na nini mpaka kutukanwa
ReplyDeleteJamaa wameacha contact zao kama una hoja au wazo si bora uwasiliane nao
April fools day!!!!!!!!
ReplyDeletehizo ni mobile sio landline
ReplyDeletelandline zinaanzia 01,02 ukipiga from tz ni +441....au +442...
wangesema makaburu mngekimbilia haraka haraka.hongereni ndugu zangu watanzania.
ReplyDeleteHili ni wazo zuri sana kukumbuka Tanzania kwni matunda bado yanaozea shambani ila sasa jinsi tusivyopendana
ReplyDeleteUshauri wangu bora endelea huko huko kenya Bongo watakufitini tuu
GOOD IDEA,NGOJA TULIFANYIE KAZI
ReplyDelete