Mabingwa wa ligi kuu na wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Simba leo watakuwa na kibarua dhidi ya Haras El Hadoud ya Misri katika mechi itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Simba inaingia uwanjani kwenye kibarua hicho huku Ligi ya Tanzania Bara ikiwa imeshamalizika na timu hiyo kutwaa Ubingwa.
Mabingwa hao wa Bara ambao wamecheza mechi 22 za Ligi Kuu bila kupoteza mchezo hata mmoja, leo wataongozwa na kocha wao Patrick Phiri aliyerejea kutoka Zambia baada ya kukosekana katika mechi mbili za mwisho za ligi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar.

All the best.
ReplyDeleteScore many goals so that when you go to their home you have no much pressure.
Daudi
Arsenal Fun and Prisons Fun
hao sio yanga leo mtakula kichapo tuu piga ua ni kichapo dot com leoooooooo!
ReplyDeleteMi naombea kama Simba wafungwe vile. Wallahi.
ReplyDeletemungu ibariki SSC ushindi ni kwa watanzani sote
ReplyDeleteHaras El Hadoud ya Misri. hilo ni jina la kiarabu lenye maana tafsiri WALINZI WA MIPAKA. sasa nauliza simba wanaweza kuvuka hiyo mipaka inayolindwa na mashujaa hawo?
ReplyDeleteMpaka sasa Simba anaongoza 2-1
ReplyDeleteSimba 2 Hadoud 1
ReplyDeleteHello Michuzi saa mbili usiku ya hapo Bongo sasa hivi, mbona hautupi matokeo jamani au mnyama kalipuliwa nini.....???????!!!!!
ReplyDeleteWe kundu wa msimbazi vepe?waonyeshe utundu wao tuone,wameonyesha huko nyuma majambooz,sasa leo twausubiri kwa hamu ati!
ReplyDelete