Timu ya Netiboli ya Tanzania Bara (Taifa Queens) iko ziarani Scotland Kuanzia tarehe 11/04/20 hadi tarehe 17/04/10. Leo tarehe 14/04/10 itacheza mchezo wa kirafiki na Scotland 2012 Squad kwenye uwanja wa Donald Dewar katika eneo la Garscadden huko Drumchapel kuanzia saa 12 jioni.
Kesho yake tarehe 15/04/20 itacheza na timu ya Taifa ya Scotland katika uwanja huo huo na muda huo huo. Siku ya Ijumaa tarehe 16/04/2010 itacheza na mchanganyiko wa vyuo vikuu vya Uingereza (British Universities) katika chuo Kikuu cha Edinbrugh kwenye ukumbi wa michezo wa Pleasance kuanzia saa 8 mchana.
Watanzania wanaoishi Glasgow na Edinbrugh wanaombwa kuhudhuria ili kuwapa nguvu vijana hawa wa Tanzania.
Kabla ya kuja scotland timu hiyo ilifanya ziara katika miji ya Bradford, Leeds and Sheffield na kucheza michezo miwili na Combine ya Leeds na Combine ya Bradford na kuishinda timu ya Bradford na kufungwa na timu ya Leeds.

Jamani Mary Protus Awiti, U gooo mama, yani upo over 60 yrs old but still kicking netball kama uko 18 vile...keep it my mama mkubwa..we love u!
ReplyDeleteJamani, mbona hamkuja kumsalimia Super Queen? Yaani mmeishia Glasgow?
ReplyDeleteVibaya hivyo!
duh jamani hata mzuri mmoja angalau kupiga nae story siku 5 hizi
ReplyDeleteUnayesema hakuna mzuri hata mmoja hujui kuangalia. Wote ni wazuri ukiangalia vizuri.
ReplyDelete