Miss Universe 2010/11 ni Hellen Dausen (23) kutoka mkoani Arusha akipunga mkono baada ya kutwaa taji la umalkia huo nchini katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera hellen,you didi it!!! soooo very happy for you.

    ReplyDelete
  2. hongera, sasa kazi kwako kupeperusha bendera. ujiheshimu usiishie kufanya ujinga kama wema sepetu na mirial gerald.

    ReplyDelete
  3. yap Hellen Dausen you deserve it,i as your former Classmate in St.mary's i do appreciate your character and beauty.best of luck!

    ReplyDelete
  4. Hivi, vigezo vinavyotumika kuwapata hawa ma-miss Universe ni vile vile ambaovyo vinatumika kuwapata ma-miss World?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...