Home
Unlabelled
Tanzania's albinos get help from B.C. man
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aibu kweli, wajanja tayari wanahaha ndimi zimewatoka leo hawalali, hizo hela zinatosha kuwasomesha albino zaidi 100 mpk chuo kikuu kutoka sekondari, watupe kwanza mkakati watazitumia vipi coz kuna maalbino viongozi nao matapeli
ReplyDeletekaka michu vipi mboni hutuwekei habari ya kaka yetu hasheem akiwa vekesheni bongo?
ReplyDeleteHuu ni ushenzi. Watu mpaka unaona aibu kusema kuwa ni Mtanzania. Wanatakiwa wakamatwe wahusika na kuhukumiwa kifo.
ReplyDeleteWhat a shame an individual Mr. Ash has to 'step up to the plate' to do what should be done by our government??where are the Human rights in Tanzania?The country doesn't care or protect it's people GOD BLESS TANZANIA
ReplyDeleteKwa wale waliokuwa wanabisha kuwa hamna wazungu maalbino, jibu lenu hilo hapo kwa huyo m-Canada.
ReplyDeleteAnon uliyechangia mada kwa kiingereza, yani kiingereza chako hakijatulia ndugu yangu.
Muungano Mema.
Nakubaliana na mdau hapo juu mia ya mia, kuwa tunataka kujua hizo hela zitatumika vipiii? sio tu msaada wa dakika moja au wa kuwasaidia albino wa 2 watatu hapana hizo ni hella nyingi sana jamani mkiangalia, MICHANGO MINGI INATOLEWAGA SANA TZ LAKINI KINACHOFANIKA CHA MAANA SIPATI JIBU HATA KIDOGO. ITS A BIG SHAME.
ReplyDeletesehemu ya mstari kutoka katika hiyo 'website'...
ReplyDeleteA recent survey found that 93 per cent of Tanzanians believe in witchcraft – the highest percentage in Africa. Witch doctors were banned by the government last year, yet many still operate freely.
... hii takwimu inaogopesha. Labda wangefafanua 'witchcraft' ni nini.
Watanzania, utu mmeupeleka wapi? Hebu tumia dakika kadhaa kufikiri ingalikuwa wewe ungejisikiaje? hauwezi kutoka nje usiku,wsi wasi kila saa kutokana na ufahamu ya kwamba unawindwa......Tujaribu kuwa binadamu.......
ReplyDeleteMdau MN