Ankal Michuzi!
Pole na majukumu ya kuendeleza libeneke la globu yetu ya jamii. Naomba uwatambulishe wanajamii libeneke la
www.afroit.com
ambapo mnamo Ijumaa tar 23 Apr
ambapo mnamo Ijumaa tar 23 Apr
kulifanyika uzinduzi rasmi wa tovuti yetu
katika jiji la Wuhan hapa China.
1.Utangulizi
AfroIT Group ni kikundi cha Watanzania wachache ambao ni vijana waliojikita kwenye uwanja wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) wakiwa na azma ya kuwafahamisha, kuwaelimisha na hata kuwajulisha Watanzania masuala mbalimbali yahusuyo ICT kupitia njia ya mtandao(yaani kupitia tovuti yetu ya www.afroit.com).
2.Azma
Kama nilivyodokeza hapo awali, azma yetu hasa ni kutoa ufahamu na elimu kwa ndugu zetu watanzania katika uwanja wa teknolojia ya habari na mawasiliano. Kwa mantiki hii, tunaamini AfroIT inaweza kuwa msaada kwa jamii nzima kuanzia wanafunzi hadi wananchi wa kawaida mwenye kiu na uhitaji wa nyenzo muhimu ktk ICT.
3.Kilichomo AfroIT
Ndani ya tovuti yetu, kuna kurasa mbalimbali ambazo tumezigawanya ktk makundi matano ambayo ni "e-learning", "technology", "forums", "blog" na "downloads".Hivyo basi kupitia kurasa hizi :
utaweza soma vijarida na vitabu mbalimbali
kuangalia video mbalimbali za masomo
kuuliza yale yanayokutatiza na kuchangia mada mbalimbali
kupakua(kudownload) vitabu mbalimbali kwa urahisi
kukutana na habari mbalimbali zinazojiri katka ulimwengu wa ICT
Hivyo basi ni tumaini letu kuwa ndugu zetu Watanzania mtauthamini mchango wetu na tunategemea kuungwa nanyi mkono katika ushauri, mawazo na hata kukosolewa inapobidi.
Kwa ushauri, maswali au maoni wasiliana nasi kupitia anwani zifuatazo:
info@afroit.com

au
webmaster@afroit.com
Tembelea www.afroit.com leo kwani "elimu ni ushindi"
Tembelea www.afroit.com leo kwani "elimu ni ushindi"
this is genius congrats to u all nice job.ndo tunachotaka kuona watu wapo nje wanasoma sio wengine kazi kuparty tu hayaa.
ReplyDeletewuhan oyeeee!
good idea wabongo. hata hivyo mimi ni miongoni mwa lile kundi linalopinga na kuchukia utumizi wa neno Afro kumaanisha ufupisho wa afrika, kama afrocaribean n.k. afro ni hair style bwana!
ReplyDeleteumesikia wapi afroamerican? kwa nini basi pawepo afrocaribean? ni africancaribean na jumuia yenu mungeliaeka sawa africanIT au vyenginevyo lakini sio AFRO.
Wenye hamasa za kuponda nawakaribisha lakini ukweli umebaki kuwa ni ule ule.
Tusipoteze hoja ya KUWAPONGEZA walioanzisha hii tovuti kwa kuingiza mjadala wa AFRO. Jina AFRO ni sawa tu msibadilishe. Wasiliana na anthropologists watakueleza asili yake. Ni kwamba lilikuwa tu popular sasabu ya hairstyle. Achana na wikipedia wewe inakudanganya. Tumieni AFRO na website ni nzuri. Tuwekeeni software nzuri hasa za recovery. Kuna watu bongo wanakipia kurecover. AFROIT HOYEEE, HOYEEEE!!
ReplyDeletebig up to all involved. shukrani za dhati kwenu nyote.
ReplyDeleteNina suali moja tu, jee kuna uwezekano wa kuweza kudownload zile video mlizoweka (networking)? nilikuwa nazitaka sana na ingelikuwa rahisi kama ningeliweza kuziweka katika cd na kuzisikiliza kila nipatapo nafasi popote nilipo pasipo na kuwa na internet access.
ahsanteni
Taymour
mr_taymour@hotmail.co.uk
VIJANA BIG UP,WEBSITE IMETULIA NA INA VITU VINGI MUHIMU KATIKA FIELD YA ENGINEERING.NATUMAINI JUHUDI ZENU ZITAWAFIKIA WALENGWA SOON
ReplyDeleteALL THE BEST VIJANA
Hey mimi naona jina liko poa tu ...ila kitu kimoja ningewaambia kama mko kwenye IT nadhani mnaelewa au kama hamkupitia typing class au word processor basi ni vizuri kuelewa ukiwa unandika unatakiwa kuweka one space baada ya comma, period, The same goes for colons, questions marks, and exclamation points....
ReplyDeleteHalafu kuna topic nyingine nilikua naangalia kama unafundisha ulimwengu mzima kwa watu wanaoongea kiswahili fanya research kidogo kabla hujaipost hiyo topic...kwa vile kuna watu wanakaa USA na wanaongea kiswahili lakini hawajui mambo mengi kwenye hii field....hivyo watafuata maelekezo yako lakini ukweli hayo maelekezo yanaapply only to your region au na Africa na sio ulimwengu mzima...
Other than that keep doing your great job
well done Tanzanians in Wuhan China,this is what we need to hear not always complaining without taking action.
ReplyDeleteDr.Mallaba
www.mallaba.ning.com
Hongereni mno, kila mtu angekuwa na juhudi kama zenu wabongo tungefika mbali mungu awajalie afya njema daima. Wuhan oyeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteHongereni, lakini mmechemsha kuzindua hiyo website bar/pub sijui ni disco hiyo......
ReplyDeleteHongeren sana wadau, web ipo poa, naungana na anonymous alietoa wazo la downloadable training videos, kama kweli mmepania ku mbeba mmbongo please msaidieni kihivyo...
ReplyDeleteTupo pamoja ktk maombi ili tufikie lengo.
sony_soni@hotmail.com
Tunasgukuru kwa maoni,tunayafanyia kazi,kuhusu kushusha video wakuu musihofu,hiyo ipo kwenye plan,kuna features mpya zipo njiani hivi punde....
ReplyDelete