Home
Unlabelled
wachezaji wenye ulemavu wa bara na visiwani wachuana dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jambo hili la kuwahusisha ndugu zetu wenye ulemavu ni jambo zuri sana...Hii inawapa kujiamini katika jamii ambayo nyakati fulani wanaonekana kuwa hawana mchango katika jamii... Nimefurahi sana na pia naota shukurani zangu za dhati kwa watayarishaji na watekelezaji wa mpango huu wenye maana sana katika ulimwengu mzima. Endelezeni moyo huohuo hadi vijijini...Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteSafi sana hii. Waandalizi tunawapa Hongera sana.
ReplyDeleteTupate hata na miss Tanzania wa wasiosikia, wasioona n.k.
Hii inawanyanyua sana mioyo hawa wenzetu. Najiuliza leo hii mimi ningekuwa kipofu au kiziwi ningekuaje.
Eee Mungu asante sana maana ni kwa rehema zako tu. Hatujafa hatujaumbika.
Utaona ni wachache tutakao comment hapa watu tunapenda mambo ya udaku na siasa.