Warembo wanaoshiriki katika kinyanganyiro cha miss kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa rihezo wakiwa kambini kwao. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, A-Taun.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hivi neno la kutumia ni 'globu' au 'blogu?' Naona bwana michuzi hata kwenye utambulisho wako umetumia neno 'globu'. hii ni kwenye yale maandishi yanayopita tartibu unapofungua hii website

    ReplyDelete
  2. dau no 1 zote iko na maana gonga google iko pata maana zote bili elewa sasa sio uliza gila kitu humu dani!

    ReplyDelete
  3. dem ladies lookin fine. me like.

    ReplyDelete
  4. Globu ni vijimambo tu vya humu ndani na sio kama michuzi haelewi. Kila mwenyeji humu anaelewa maana ya globu ni nini. Ni kama vile Mithupu, Michu, Michudhi nk..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...