Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. mdau hapo india sio mashariki ya kati

    ReplyDelete
  2. kama jelajela fulani.

    ReplyDelete
  3. Hawa vikongwe nimewaaminia! wanaonekana wako fiti

    ReplyDelete
  4. HAPO NI NGASA NA MGOSI KAAZI KWEI KWEI!

    ReplyDelete
  5. HAPO NI NGASA NA MGOSI PATACHIMBIKA!

    ReplyDelete
  6. huyo ngasa mbona hachangamki? hatumsajiri tena, ahaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Wana undugu na Joti?

    ReplyDelete
  8. Hapo ni India, tena India PER SE!!! Tena intakuwa Southern India.

    ReplyDelete
  9. hao sio wazee matatizo tu...siunaona hilo vumbi probably watakua miaka kama 25 lakini haizidi 30....

    ReplyDelete
  10. Mbona kuja mchezaji mmoja wa yanga ana viatu vya kutumbukiza wakati wengine wote wana yebo yebo au kama ndala fulani hivi? Inabidi huyu atoke ili wote twende sawa lasihivyo atatuumizia wachezaji wetu huyu......

    ReplyDelete
  11. ...looks like in Hades (the underworld). No wonder they are never mentioned in world footbal.

    ReplyDelete
  12. Hapo hatari tupu ukipiga chenga unaweza kung'ang'aniwa mzuzu hapiti mtu.
    Ankal ligi ya Bara mwaka huu imeniacha hoi sana yaani timu ya Tano kwenye msimamo(African Lyon) ilikua na hatari ya kushuka daraja?

    ReplyDelete
  13. Huyo babu wa simba kama JOTI vile anavyojifanya mbabu.

    ReplyDelete
  14. mh..!! hiyo misuli ikidondoka itakuwa ni full burudani

    ReplyDelete
  15. mpira ndani ya misuli! kaaaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  16. hongera zao,wanafanya mazoezi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...