MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIRISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA HAPA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFRA FUPI YA KUMUAGA MHESHIMIWA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.
MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, MAMA MWANAIDI . S. MAAJAR, AKITOA SHUKRAN ZAKE KWA VIONGOZI NA WAWAKIRISHI WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY (BTS) WALIPOKUWA WAKIMUAGA RASMI JUZI, TAREHE 18/05/2010 KWENYE UKUMBI WA WESTMINSTER

MHESHIMIWA BALOZI, AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MWENYEKITI WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, BWANA RON. FENNELL NA MKEWE BIBI. ELIZABETH FENNEL
MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIlISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFLA FUPI YA KUMUAGA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.


WATANZANIA, MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIRISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA HAPA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFRA FUPI YA KUMUAGA MHESHIMIWA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    Naona 'Care Homes' karibia zote zilibakia tupu siku hiyo; it was an absolute time out for the oldies and some time off for care givers. With free stuffs, who wouldn't?

    We believe you had a fabulous time at WESTMINSTER.

    Ila tu naona this time hakukuwa na ma-camera ya kupiga picha. The quetsion is, Why?

    Wasalaam.

    ... Lose a fight, but don't lose the lesson. Ama, when you lose, don't lose the lesson.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    With free stuffs, sorry, not staffs.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    Huyo reporter ni lazma atakuwa ni ndugu yake nanihii.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    ...dah hajaondoka tu, manake kwenye hii blog yetu ya jamii naona habari za balozi wetu anaagwa kila mara, lakini wapi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2010

    Mbona balozi hukuandika "barozi?" Wawakirishi, hafra...hii inaonyesha uhaba wa erimu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2010

    Michuzi kuwa msitari wa mbele kuendeleza lugha ya Kiswahili na wasioijuwa wasaidie.Hii WawakiRIshi ni nini ?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2010

    Balozi karibu USA,ukutane na jamii Changa na yenye Ari ya kujiendeleza,na lazimaujue kuwa huku
    1.Hakuna Majungu na Makundikundi ya Kimbea
    2.Kwenye harusi Maximum watu 40,20 wabongo na 20 wazawa wamarekani
    3.Msiba hakuna kupigiana simu kuchangishana,insurance yako itacover shughuli zote
    4.Ubalozini hakuna ushamba wa watu kuja kuzuga zuga,kana kwamba ni kijiwe.
    5.na la mwisho zaidi ya 80% wabongo wana kazi zilizotulia,hakuna kupiganapigana mizinga ya ajabuajabu

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2010

    Anonymous wa May 20, 11:55,

    Kwani unafikiri huku UK watu tunahema kwa huyo balozi kuondoka kwa vile sie tuna matatizo hayo uliyoyaorodhesha basi? Tatizo sio hiyo mizinga et al, kama udhaniavyo wewe, nadhani tatizo ni muhusika. Unajua, kuna matatizo mengine hayahitaji pesa ili kutatuliwa, bali ni upeo wa kufikiri na kuweka kando majungu.

    Hapo nyuma, kuna mdau aliwahi kusema kuwa, hiyo London, wamekwisha iharibu kwa majungu. That person could not be more right! Kama tumefikia pahala pa kufanya maamuzi based on hearsay, ni dhahir kuwa tunatetereka.

    Ninachoweza kuwaambia wana US, unless the subject changes its ways of handling issues, then KUWENI MUYAONE. Namshauri kama alivyokwisha shauriwa tayari, kuwa, SHE SHOULD NOT LOSE THE LESSON.

    Balozi siyo kazi yake kufungua mashina na kuhudhuria sherehe tu! Balozi kazi yake kubwa ni kutatua matatizo ya watu wa jamii yake ambao wanapatwa na matatizo, hayo mengine ni mengineyo (ama Any Other Business, kama tusemavyo katika kumalizia mikutano).

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2010

    I AM NOT SURE IF THAT, THE WORD STUFF IN PLURAL IS STUFFS, NO WAY, STUFF IN SINGULAR IS STUFF, IN PLURAL IS STUFF TOO.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2010

    Anonymous wa May 21, 01:04, thanks for your observation and input, much appreciated. I am still struggling to master the language. Much thanks.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2010

    Kitendo tu cha kuorodhesha hayo matatizo na kuyatupa kwa wanaoihi uk ni ishara tosha kua wewe mwenyewe unatabia za kienyejienyeji,umbea umbea,mjungu coz kama ulishawahi kufika uk kumbe ilikua kazi yako nikuchunguzachunguza watu wanaishi vipi,badala ya kufata lililokupeleka ovyoooooooo umbea na majungu nitabia za mtu personal usiwahukumu watu wengine ka kuwapa sifa zisizo kua zao shika ad****yako okeee michuzi usibane hio

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2010

    mdau wa kwanza, GROW UP, wacha chuki hizo. utakufa siku sio zako. Unadhani kila aliekuwepo nje ya nchi anafanya kazi za kuangalia wazee tu?

    Kwa nini hutumii wakati wako vizuri? anagalau tafuta mahali ukasome hichi kiingilishi kabla ya kuja hapa na utumbo wako!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2010

    Anonymous wa Friday May 21, 11: 44,

    You are entitled to your own opinion.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 21, 2010

    P.S,

    Anonymous wa May 21, 11:44,

    Kisasi gani hicho kisasi kisichokwisha? Please move on and let go, even though I know sometimes it is not easy, but please try to, take some time off, may help for a start. LET ME GO!.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 21, 2010

    jamani cyo woote wanaofanya kazi za kuangalia wazee, wengine tuna professional jobs hapa uk.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 21, 2010

    Namuunga mkono mdau anayesema anaagwa tokea mwaka jana? Waafrika ndo maana tunakuwa masikini sio kwamba anastaafu anahamishwa kikazi ni kitu cha kupark and go. So ajabu baada ya mwaka akarudishwa UK sasa mtafanya nini?
    Mbona balozi anayehamishwa DC haagwi agwi ovyo. Unajua waafrika matatizo mengi tunajiletea kwa kuyakuuza kama ni misiba, harusi, tuna complicate. Mama unatakiwa kureport kazini DC as soon as possible tuanze shughuli! Na siku ukiondoka kwa US huwa tunasema simply WAS NICE KNOWING YOU.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 21, 2010

    wewe anon wa Thu May 20, 11:55:00 PM umshamba kiasi gani? hiyo listi yako ndio inasema nini? unadhani huku uk watu hatuna kazi za uhakika? unasema mengi ya matangazo ya vifo yanaomba michango hapa ni ya watu waliopo usa. kama kweli hampigiani simu panapotokea kifo, hiyo ni kwa sababu hamna umoja na hamsaidiani, hilo sio jambo la kujisifia. Na usitudanganye na masuali ya insuarance kana kwamba sote hatukuwahi kufika au kuishi USA, asili mia kubwa ya wananchi na wanaoishi USA hawana aina yeyote ya insurance and that is a FACT.

    so what kama harusi zenu maximum watu arobaini? it just prove that you are so idiot na wakuja ile mbaya.

    toka hapa nenda huko unakohangaika kujipatia riziki na endelea na dharau zako na kejeli zisizo na kichwa wala miguu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 21, 2010

    Acheni kulishana kasa nyie wawili, stuff ni singular na stuffs ni plural, ila staff ndio singular na plural as it is. Sheep ni sheep na ship ni ships, niendelee ama nisiendelee????

    Mwl. Komba.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 22, 2010

    Mwalimu Komba,

    Usiendeleeee!

    Niaje Bro?

    "... siwachukii nawadharau!" (wanajijua)!

    Thanks for your observation and input.

    Ama kweli kuna watu ambao wapo kwenye sidelines wanajichekea jinsi watu wanavyochemka na kulishana kasa!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2010

    Anonymous May 21, 04: 25

    Jamani kwa nini unamuwazia Mama wa watu mabaya kiasi hicho? Ati, inawezekana kuwa baada ya mwaka akarudishwa huku huku U.K? GOD FORBID!

    Huko U.S atakuweza tu, si unajua tena huko wenzetu mna majimbo mengi zaidi, nadhani you have about 52 states, kama sikosei. Shida ya huku tuna kama mikoa mi-4 tu kama sikosei, England, Nothern Ireland, Wales na Scotland (au ni mi-3 Nothern Ireland inajitegemea? - msaada hapo please!).

    Ataweza tu huko U.S.

    Mama Shughuli,
    U. K.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...