
MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIRISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA HAPA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFRA FUPI YA KUMUAGA MHESHIMIWA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.

MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, MAMA MWANAIDI . S. MAAJAR, AKITOA SHUKRAN ZAKE KWA VIONGOZI NA WAWAKIRISHI WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY (BTS) WALIPOKUWA WAKIMUAGA RASMI JUZI, TAREHE 18/05/2010 KWENYE UKUMBI WA WESTMINSTER

MHESHIMIWA BALOZI, AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MWENYEKITI WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, BWANA RON. FENNELL NA MKEWE BIBI. ELIZABETH FENNEL

MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIlISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFLA FUPI YA KUMUAGA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.

WATANZANIA, MARAFIKI WA TANZANIA, VIONGOZI NA WAWAKIRISHI MBALIMBALI WA JUIMUIYA ZA WATANZANIA HAPA UINGEREZA, WALIJUMUIKA PAMOJA NA WANACHAMA WA BRITAIN TANZANIA SOCIETY, KATIKA HAFRA FUPI YA KUMUAGA MHESHIMIWA BALOZI MWANAIDI .S MAAJAR AMBAYE ANAHAMISHIWA NCHINI MAREKANI.
Naona 'Care Homes' karibia zote zilibakia tupu siku hiyo; it was an absolute time out for the oldies and some time off for care givers. With free stuffs, who wouldn't?
ReplyDeleteWe believe you had a fabulous time at WESTMINSTER.
Ila tu naona this time hakukuwa na ma-camera ya kupiga picha. The quetsion is, Why?
Wasalaam.
... Lose a fight, but don't lose the lesson. Ama, when you lose, don't lose the lesson.
With free stuffs, sorry, not staffs.
ReplyDeleteHuyo reporter ni lazma atakuwa ni ndugu yake nanihii.
ReplyDelete...dah hajaondoka tu, manake kwenye hii blog yetu ya jamii naona habari za balozi wetu anaagwa kila mara, lakini wapi.
ReplyDeleteMbona balozi hukuandika "barozi?" Wawakirishi, hafra...hii inaonyesha uhaba wa erimu!
ReplyDeleteMichuzi kuwa msitari wa mbele kuendeleza lugha ya Kiswahili na wasioijuwa wasaidie.Hii WawakiRIshi ni nini ?
ReplyDeleteBalozi karibu USA,ukutane na jamii Changa na yenye Ari ya kujiendeleza,na lazimaujue kuwa huku
ReplyDelete1.Hakuna Majungu na Makundikundi ya Kimbea
2.Kwenye harusi Maximum watu 40,20 wabongo na 20 wazawa wamarekani
3.Msiba hakuna kupigiana simu kuchangishana,insurance yako itacover shughuli zote
4.Ubalozini hakuna ushamba wa watu kuja kuzuga zuga,kana kwamba ni kijiwe.
5.na la mwisho zaidi ya 80% wabongo wana kazi zilizotulia,hakuna kupiganapigana mizinga ya ajabuajabu
Anonymous wa May 20, 11:55,
ReplyDeleteKwani unafikiri huku UK watu tunahema kwa huyo balozi kuondoka kwa vile sie tuna matatizo hayo uliyoyaorodhesha basi? Tatizo sio hiyo mizinga et al, kama udhaniavyo wewe, nadhani tatizo ni muhusika. Unajua, kuna matatizo mengine hayahitaji pesa ili kutatuliwa, bali ni upeo wa kufikiri na kuweka kando majungu.
Hapo nyuma, kuna mdau aliwahi kusema kuwa, hiyo London, wamekwisha iharibu kwa majungu. That person could not be more right! Kama tumefikia pahala pa kufanya maamuzi based on hearsay, ni dhahir kuwa tunatetereka.
Ninachoweza kuwaambia wana US, unless the subject changes its ways of handling issues, then KUWENI MUYAONE. Namshauri kama alivyokwisha shauriwa tayari, kuwa, SHE SHOULD NOT LOSE THE LESSON.
Balozi siyo kazi yake kufungua mashina na kuhudhuria sherehe tu! Balozi kazi yake kubwa ni kutatua matatizo ya watu wa jamii yake ambao wanapatwa na matatizo, hayo mengine ni mengineyo (ama Any Other Business, kama tusemavyo katika kumalizia mikutano).
I AM NOT SURE IF THAT, THE WORD STUFF IN PLURAL IS STUFFS, NO WAY, STUFF IN SINGULAR IS STUFF, IN PLURAL IS STUFF TOO.
ReplyDeleteAnonymous wa May 21, 01:04, thanks for your observation and input, much appreciated. I am still struggling to master the language. Much thanks.
ReplyDeleteKitendo tu cha kuorodhesha hayo matatizo na kuyatupa kwa wanaoihi uk ni ishara tosha kua wewe mwenyewe unatabia za kienyejienyeji,umbea umbea,mjungu coz kama ulishawahi kufika uk kumbe ilikua kazi yako nikuchunguzachunguza watu wanaishi vipi,badala ya kufata lililokupeleka ovyoooooooo umbea na majungu nitabia za mtu personal usiwahukumu watu wengine ka kuwapa sifa zisizo kua zao shika ad****yako okeee michuzi usibane hio
ReplyDeletemdau wa kwanza, GROW UP, wacha chuki hizo. utakufa siku sio zako. Unadhani kila aliekuwepo nje ya nchi anafanya kazi za kuangalia wazee tu?
ReplyDeleteKwa nini hutumii wakati wako vizuri? anagalau tafuta mahali ukasome hichi kiingilishi kabla ya kuja hapa na utumbo wako!
Anonymous wa Friday May 21, 11: 44,
ReplyDeleteYou are entitled to your own opinion.
P.S,
ReplyDeleteAnonymous wa May 21, 11:44,
Kisasi gani hicho kisasi kisichokwisha? Please move on and let go, even though I know sometimes it is not easy, but please try to, take some time off, may help for a start. LET ME GO!.
jamani cyo woote wanaofanya kazi za kuangalia wazee, wengine tuna professional jobs hapa uk.
ReplyDeleteNamuunga mkono mdau anayesema anaagwa tokea mwaka jana? Waafrika ndo maana tunakuwa masikini sio kwamba anastaafu anahamishwa kikazi ni kitu cha kupark and go. So ajabu baada ya mwaka akarudishwa UK sasa mtafanya nini?
ReplyDeleteMbona balozi anayehamishwa DC haagwi agwi ovyo. Unajua waafrika matatizo mengi tunajiletea kwa kuyakuuza kama ni misiba, harusi, tuna complicate. Mama unatakiwa kureport kazini DC as soon as possible tuanze shughuli! Na siku ukiondoka kwa US huwa tunasema simply WAS NICE KNOWING YOU.
wewe anon wa Thu May 20, 11:55:00 PM umshamba kiasi gani? hiyo listi yako ndio inasema nini? unadhani huku uk watu hatuna kazi za uhakika? unasema mengi ya matangazo ya vifo yanaomba michango hapa ni ya watu waliopo usa. kama kweli hampigiani simu panapotokea kifo, hiyo ni kwa sababu hamna umoja na hamsaidiani, hilo sio jambo la kujisifia. Na usitudanganye na masuali ya insuarance kana kwamba sote hatukuwahi kufika au kuishi USA, asili mia kubwa ya wananchi na wanaoishi USA hawana aina yeyote ya insurance and that is a FACT.
ReplyDeleteso what kama harusi zenu maximum watu arobaini? it just prove that you are so idiot na wakuja ile mbaya.
toka hapa nenda huko unakohangaika kujipatia riziki na endelea na dharau zako na kejeli zisizo na kichwa wala miguu.
Acheni kulishana kasa nyie wawili, stuff ni singular na stuffs ni plural, ila staff ndio singular na plural as it is. Sheep ni sheep na ship ni ships, niendelee ama nisiendelee????
ReplyDeleteMwl. Komba.
Mwalimu Komba,
ReplyDeleteUsiendeleeee!
Niaje Bro?
"... siwachukii nawadharau!" (wanajijua)!
Thanks for your observation and input.
Ama kweli kuna watu ambao wapo kwenye sidelines wanajichekea jinsi watu wanavyochemka na kulishana kasa!
Anonymous May 21, 04: 25
ReplyDeleteJamani kwa nini unamuwazia Mama wa watu mabaya kiasi hicho? Ati, inawezekana kuwa baada ya mwaka akarudishwa huku huku U.K? GOD FORBID!
Huko U.S atakuweza tu, si unajua tena huko wenzetu mna majimbo mengi zaidi, nadhani you have about 52 states, kama sikosei. Shida ya huku tuna kama mikoa mi-4 tu kama sikosei, England, Nothern Ireland, Wales na Scotland (au ni mi-3 Nothern Ireland inajitegemea? - msaada hapo please!).
Ataweza tu huko U.S.
Mama Shughuli,
U. K.