Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufunguwa Soko la Mazao la Wananchi wa kijiji cha Dosidosi katika Wilaya ya Kiteto jana, Makamu wa Rais yupo Mkoani Manyara kwa ziara ya siku nne ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya Wananchi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Dosidosi Wilayani Kiteto baada ya kulifunguzi wa Soko la Mazao la Wananchi wa Kijiji hicho jana, Makamu wa Rais yupo Mkoani Manyara kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo.
Mratibu na mtaalamu Mkuu wa Shughuli za usambazaji maji safi na Salama katika Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara akimfahamisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, juu ya maendeleo ya ujenzi wa Tangi la kuhifadhia maji yatakayosambazwa katika vijiji mbalimbali vya Wilaya hiyo, wakati Makamu wa Rais alipokwenda kuangalia ujenzi wa tangi hilo linalojengwa katika kijiji cha Kibaya juu, leo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Manyara kwa ziara ya siku nne ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein katikati, akihitubia Wafanyakazi wa Hospitali ya Diocese Haydom Lutheran Mbulu, wakati alipotembelea kuangalia maendeleo ya huduma za Hospitali hiyo leo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Manyara kwa ziara ya siku nne ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya Wananchi. kushoto Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Henry Shekifu.
Picha na mdau Amour Nassor wa Ofisi ya Makamu wa Rais




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    misupu sensa vipi?? mbona watani wajadi wanavamia globu yetu?? hebu soma hii koment.... Naomba nitume hoja ya haja kujadili hii posti wajameni,,, duhh hapa wamewasha moto, hii haikubaliki kabisa

    $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

    •Tarehe Wed May 26, 01:28:00 PM, Mtoa Maoni: Paulo Kamau

    As usual Mashaka have spoken with a lot of gusto and machismo but you have spoken from your heart.He has exposed hir brilliance and rhetoric by being indirect on various.

    His mastery of English language has given him a competitive edge against his fellow –semi literate-tanzanians who lacks the the ability even for the less needed messenger jobs in Kenya. Most of them in Eurpore are simply drug dealers, and factory workers

    I am sure Mashaka did not learn his masteryo f issues from Tanzania, UDSM or elsewhere. His interelectual foundation emanated from his early years in Kenya.Your years of schooling in Kenya before coming to the US for higher education and career development appear to have left an ambivalent mark on you.

    I lived with Tanzanians in the UK, and they are some of the funniest human beings –creatures- I have ever seen. Gossipers, party animals, and the laziest to have ever inhabited plannet earth; When I read well thought and well composed Ideas such as Mashaka’s, I remember two famed Kenya Ministers, Robert Ouko and Tom Mboya who happens to be from the Same Tribe Luo, Obama’s ancenstrial tribe.

    John Mashaka is not a Tanzanian, because very few of them think like him, they have very low self esteem, incompetent and dumbest people I have ever come across, just like Julius K. Nyerere was a Rwandese (Tutsi) John Mashaka is a Luo from Kenya where Obama, Tom Mboya and Robert came from. This places Kenya on top of the world in terms of most brilliant people besides Nigeria Ibo’s in the entire African continent.

    Do not therefore celebrate this young man as your own; rather thank Kenyan’s for training and eventually exporting world class thinkers of Mashaka’s caliber.

    PS: John Mashaka, this issue aside, and congratulation for the great work you are doing. You are truly an African son of the soil. We as the land where you received your education are proud of you as we are proud of our existential son, Barrack. Hussein. Obama who is now the president of the United States of America

    Shemeji Paulo Kamau
    Nakuru-Kenya
    ******************

    SOURCE:
    http://issamichuzi.blogspot.com/2010/05/john-mashaka-hits-at-fall-of-madafu.html#comments

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...