Alfred alitunukiwa zawadi mbili. Ya kwanza ni kuwa bora na ya pili ni kuiwakilisha vyema katika makongamano mbali ya kielimu baina ya vyuo mbali mbali Mysore. Sherehe Hii ya Somani Sambram hufanyika kila mwaka na kuwatuza wanafunzi waliofanya vizuri.
Alfred alitunukiwa zawadi mbili. Ya kwanza ni kuwa bora na ya pili ni kuiwakilisha vyema katika makongamano mbali ya kielimu baina ya vyuo mbali mbali Mysore. Sherehe Hii ya Somani Sambram hufanyika kila mwaka na kuwatuza wanafunzi waliofanya vizuri.
Hongera sana mkuu. Umenifurahisha sana kijana. Hakika juhudi zako zimezaa matunda. Wana Mysore wote tumefurahi sana na tunakupongeza sana. Tunakutakia kila la heri na Mungu akubariki.
ReplyDeleteHongera mdau njoo sasa bongo utumikie wananchi
ReplyDeleteHey Hongera sana Kijana.... nnavyowajua wahindi kama umeweza kuwa Topper we ni noma.... Big up.
ReplyDeleteNilifikiri Wadosi ni Mabingwa wa Masomo ya Biashara!Kumbe Wabongo wamo!
ReplyDeleteUkweli ni kuwa Watu wa bara la Asia ni wataalamu wa IT na Masomo ya Biashara
asante umetuwakilisha vema
ReplyDeleteKaka hongera sana, umeonyesha kuwa waTz wanaweza na umewapa moyo wabongo walioko huko kuwa wahindi wanaweza kushindwa tu. mtangulize Mungu sana na Nakutakia maisha yenye mafanikio! Stay Focused n B Responsible, thats the keyz of life!
ReplyDeleteMdau Geneva, Switzerland
hongera sana kijana. Tunaweza safi sana. nyie ndo watu mnaotupa moyo na matumaini kuwa sisi ni noma, kuwapita wahindi inahitaji juhudi sana na umezionesha, safi sana
ReplyDeleteJack, New York, Usa.
kumbe kuna wahindi wanamabusha nlikuwa sijui
ReplyDeletehongera saaanaaaaaaa uko juu kimaukweliii si ile ya blah blah noo ya ukweliiiiiiii hongera mwanangueeeeeeeee hongeraa
ReplyDeletemdau canada
Pongezi Alfred and all the best! Hemedi.
ReplyDeletebro fanya urudi zako kabla hawajakufanyia.
ReplyDeleteKeep it up Alfred, we are grateful!
ReplyDeleteHi, Big up kaka hongera sana mungu akujalie baadaya kufaulu safi sana sasa ifanyie kazi taaluma yako ili ufaidike chapa kazi kweli hii ndio siri pekee ya mafanikio, unaweza jiamini utafika pazuri sana unapotamani all the best matanzania mwenzangu.
ReplyDeleteCHef Issa ( Around the world)
www.activechef.blogspot.com
kweli wachaga wanajua bishara aisee minja hongera sana bwashee
ReplyDeleteHongera kijana Huyo mwalimu ni Busha au kipande cha nyoka???
ReplyDeleteWachagga bwana shule inapanda sana, lakini wakipewa madaraka watu wanalalamika kwamba wanapendelewa, sasa huu ni mfano mdogo tu kuwashinda wahindi sio mchezo tena kwao India .
ReplyDeleteHongera sana bro Minja
I AM ARE VERY SMART TOO WHEN ARE MUZUMBE UNIVERSITY WITH THE DEGREES OF ECONOMICS AND PURE SCIENCE MATHEMATICS BUT ARE NEVER GET ATTENTION BUT HIM THERE JUST ONE TEST IS EVERYBODY PRAISES HIM THAT HE ARE SMART FOR JUST ONE TEST. ALSO HOW DO WE KNEW IF THAT PICTURES IS JUST FAMILY PICTURES THAT ALFRED IS GOING THERE TO VISITING THESE FAMILY IN THE WEEK END LONG SO HE TOOK A PICTURES WHY NOT PUTTING THE RESULTS OF THE EXAMINATIONS SO THAT WE CAN IMPROVE THE TRUTHS, PEOPLE ON HERE ARE VERY EASY TO BE FAKED BECAUSE IT DIDN`T SHOWED ANYTHING OF ALFRED GOT A WINNER OR ANYTHING EXCEPT HIMSELVES SAY IS WINNING EXAMINATIONS YOU KNOW WHAT I WAS SAYING? LET HIMSELF IMPROVE TO US THAT HE ARE WON THE EXAMINATION OF THAT TEST, NOT ONLY EMPT HANDS OF WORDS. THAT ARE ALL FOR ME I REPRESENT MY COMMENTS SIR MICHUZI OF ALL BLOGS!
ReplyDeletewewe wa kichwa maji hata mzumbe hujuhi ku spell then una sema wewe ni very smart !! English yenyewe tu broken.Piga na wewe picha utume humu watu wakupongeze kama ndo unachotaka!!
ReplyDeletekusema ukweli mi nimesoma India hadi kuwashinda wa hindi si kitu kidogo. Hata mimi ni kichwa sana na walimu walikuwa wanajua hila walikuwa wana nila sana marks. ki hindi hindi mswahili ukipewa pass tu wewe shukuru mungu !!
ReplyDeletewachanga wana akili sana. Aswa kwenye mambo ya biashara. Tuna hitaji raisi mchaga sasa !!!
ReplyDeleteWewe Peter achaaa WIVU WAKO UTAKUFA KWA WIVU. Na hiyoi english yako mbovu.
ReplyDeleteHuyo kijana alisoma Kenya, na alipomaliza masomo yake Kenya was the best student katika mwaka wao. Kwa hiyo acha wivu wako, he is a very serious young man.
Hongera sana Alfred endelea kujituma utafika mbali.
Mungu akubariki sana
Congrats Comred......''the only way around is through'' be grateful n dnt forget GOD.
ReplyDeleteKwa kweli huyo jamaa namfahamu sana, tangia msingi kule kenya alikuwa best na naona mpaka huku bado anangara tu... safi sana kijana wangu
ReplyDeletePeter hayo co maneno ya busara, kwanza haujasoma mzumbe coz nakufahamu sana, hujui jinsi ya kutoa hata Caps Lock na hicho kiingereza mwalimu mkuu wa mzumbe akiona umeandika atakusue mahakamani...
Hongera Sana Kijana Alfred na Umtangulize Mungu
James Justine
Scotland
Wachaga Oye.. Mnajua maana ya Aichi jamani??? The meaning is THE MAN WHO KNOWS.
ReplyDeleteHuyu kijana ni noma na nimemkubali sana, peter acha wivu we mtoto wa kiume. Jitahidi na wewe utatoka siku mmoja.
Mdau Pretoria
Hii ni nzuri unastahili pongezi.
ReplyDeletebig up bro.
Ni kweli hiyo maana ya aichi, kijana jina lako umeliwakilisha vizuri sana. Mungu Akuongoze.
ReplyDeletePuuuuuuuuu.. Mkuuuuu safi sana kijana wangu, Mzee wa KuDownload a.k.a Downloader, bado hilo jina mysore lipo???????? Safi sana mzee. Nakusubiria Mkuu Huuku Bongo
ReplyDeleteRumisha Maliki
Hi Alfred!!! This is your sister, Regina. Congratulations dear brother. We are all very proud of you. God bless you.
ReplyDelete