



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ankal, hiyo fulana unayo moja tu au ziko nyingi zenye kufanana? Nakuona ukerewe muda mfupi uliopita ukiwa na zefuklanas na mara hii uko bongo na ze sane fulanas? Mhh, bado kile kijasho kipo mwilini au?>
ReplyDeleteAhhaaa kumbe waliosema wale wenye office yenye tulaptop tu hawana hela walikua wakweli...ukatoa fulana na kusema wale wameinunua kumbe ilikua danganya toto ....hahhahhaha....
ReplyDeleteSasa jamani ebu tazameni hiyo shoo ya huyo banana hivi ata kama ndo mambo ya style mupya tutafika kweli mimi apo nilizania wakati wanaingia walitaka tuonesha mashindano ya kukimbiza magari fomula one ama nilijua apa kuna mashindano ya pikipiki daaah......ni noma sana ata kama ubunifu sasa hii sooo sana....vijana hao nauhakika baada ya iyo shoo wameenda kukandwa wewe si onaona mwenyewe walovyo swagaaa apo......pia ankali Tuambie kuhusu ze Fulanaz maana nilikuona maeneo unakula nguna nikakuona nayo tena kwenye ze killz sasa inakuaje tunangoja apa au majina umesha yapotezea maana apa twangoja bila majibu,,,,.......poa kazi njema libeneke si la kitoto tutaandamana kama hatupati ze fulanaz
ReplyDeletenasikia kizunguzungu bin kihindihindi kumbe ze fulanaz bado ipo?? huh!
ReplyDeletejamani hio ze fulana kwa misele yaani no comment mchana ilikuwa inakula ugali usiku kwenye tuzo kwi kwi kwi haifuliwi,Achu mchujuko pole nakuonea huruma japo umetoka shavu,utazoea tu bongo ndo nyumbani
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteTunajua kwamba ze FULANAZZZ ni alama ya kibiashara (Trademark) ya globu ya jamii, na kimsingi haitakiwi kukosekana popote pale ambapo globu ya jamii inawakilishwa (inauza nyago). Big up sana.
OMBI:
Mimi mdau wako wa Mwenge nataka tukutane live kubadilishana mawazo haya na yale, nitakupata wapi?
Maelekezo pls!
kaka michuzi tunaona huyuwekee at list video tuone siku hiyo ya music awards hiliwaje !!
ReplyDeleteAnkal, jana bwana nilienda club na DJ akakumbushia enzi kidogo kwa kupiga "murder she wrote" wa Chaka Demus and Pliers, akaweka na video yake pia. Then nikawa namfananisha Chaka Demus na mtu ambaye namfahamu, ila picha ikawa haiji kichwani ni nani hasa, nikahangaika wee kukumbuka, mara ghafla kumbe ni wewe!
ReplyDeleteooooooo hellll NOOOOOOOO!!!!!!!!!!
ReplyDeleteze fulana bado ipo!!!!!!!????????? si ilinadiwa jamani????? Yani nimecheka kama kichaa baada ya kuiona hiyo ze fulanaz, hahahahahahahahahahah,,,,,,,,,
Kumbe huyu dada mwamvita ni mulato? Si huyu namuona anatoaga madawati na misaada mbalimbali? Sikujua mimi..she looks very good...
ReplyDelete