Kamati ya kudumu ya Bunge na Fedha na Uchumi iliyokutana jijini Dar Es Salaam tarehe 25 Mei 2010 imeridhia mapendekezo na ushauri wa Ofisi ya Msajili wa Hazina la kuwaachisha kazi Wafanyakazi wote wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ili kuipunguzia mzigo Serikali.
Ushauri huo umetolewa na mshauri wa Msajili wa Hazina bwana Godfrey Msella na kusema, "kama ATCL haibebeki, ni bora Serikali ibwage manyanga" kufuatiwa na tamko rasmi la Mwenyekiti wa tume hiyo ya Bunge Mhe. Abdallah Kigoda. Kwa habari zaidi na taarifa ya habari ya TBC 1 kuhusu swala hili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    misupu sensa vipi?? kichwa changu kinapasuka kwa jazba,inakuwaje?? mbona watani wajadi wanavamia globu yetu?? hebu soma hii komenti.... naomba nitume hoja ya haja kujadili hii posti wajameni,,, duhh

    $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

    •Tarehe Wed May 26, 01:28:00 PM, Mtoa Maoni: Paulo Kamau

    As usual Mashaka have spoken with a lot of gusto and machismo but you have spoken from your heart.He has exposed hir brilliance and rhetoric by being indirect on various.

    His mastery of English language has given him a competitive edge against his fellow –semi literate-tanzanians who lacks the the ability even for the less needed messenger jobs in Kenya. Most of them in Eurpore are simply drug dealers, and factory workers

    I am sure Mashaka did not learn his masteryo f issues from Tanzania, UDSM or elsewhere. His interelectual foundation emanated from his early years in Kenya.Your years of schooling in Kenya before coming to the US for higher education and career development appear to have left an ambivalent mark on you.

    I lived with Tanzanians in the UK, and they are some of the funniest human beings –creatures- I have ever seen. Gossipers, party animals, and the laziest to have ever inhabited plannet earth; When I read well thought and well composed Ideas such as Mashaka’s, I remember two famed Kenya Ministers, Robert Ouko and Tom Mboya who happens to be from the Same Tribe Luo, Obama’s ancenstrial tribe.

    John Mashaka is not a Tanzanian, because very few of them think like him, they have very low self esteem, incompetent and dumbest people I have ever come across, just like Julius K. Nyerere was a Rwandese (Tutsi) John Mashaka is a Luo from Kenya where Obama, Tom Mboya and Robert came from. This places Kenya on top of the world in terms of most brilliant people besides Nigeria Ibo’s in the entire African continent.

    Do not therefore celebrate this young man as your own; rather thank Kenyan’s for training and eventually exporting world class thinkers of Mashaka’s caliber.

    PS: John Mashaka, this issue aside, and congratulation for the great work you are doing. You are truly an African son of the soil. We as the land where you received your education are proud of you as we are proud of our existential son, Barrack. Hussein. Obama who is now the president of the United States of America

    Shemeji Paulo Kamau
    Nakuru-Kenya
    ******************

    SOURCE:
    http://issamichuzi.blogspot.com/2010/05/john-mashaka-hits-at-fall-of-madafu.html#comments

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    nadhani hawa jamaa hawako strategic. shirika linaweza kupata maendeleo bila kupunguza wafanyakazi. waache kulala. mbona precision wanaendelea au kwa vile mali ya uma management inalala, hakuna kufikiria mbali. ni wakati wa kuacha ubabaishaji.

    inashangaza kuona wasomi wetu wakipewa kuendesha mashirika ya uma wanayaua na wakipewa mashirika binafsi yanashamiri.

    nchi ni yetu sote. acheni ubinafsi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    Can anybody out there remind me what can Tanzanian government do!?? mh!?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2010

    And how many Tanzanian nationals do you know kamau to make such a damn conclusion on their behaviours? Your shallow statements, only exposesignorance and cognitive bias that many uncooth kenyans like you have haboured against Tanzanians for so many years now. That you can use stereotypes to make such damning conclusions against more than 40 million people in TZ, exposes your poor education background because that is what a first year undergraduate student is taught in introduction to Statistics and Probability. While it is not my intention to brag to you, I would like to remind you that in East and Central Africa only Tanzanians are trusted to be given highest international posts. Prof. Tibaijuka for instance heads UN Habitat and used to Head UN office in Nairobi Kenya. The Deputy Secretary General of UN also happens to be a Tanzanian. The head of UN in South Africa happens to be a Tanzanian. Not to mention heads of Facullts across reputable Universities including Havard. My advice to you and many Kenyans who live in past glories is to go to school. For a start, you can come here at the University Of Dar es Salaam so I can take care of your ignorance at a personal level. Otherwise, it is quite stupid to think Mashaka is somekind of a genious here in TZ. Take my word, Mashaka is a nobody in TZ, he can only brag in Blogs like these but not in intellectual set ups anywhere in TZ. One last words, Go to school Kamau, go fast.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2010

    wewe uliyeuliza swali; jibu ni kwamba waongeze uzalishaji. hakuna haja ya kupunguza wafanyakazi bali kuwa strategic.

    wawekeze kwenye far future na kwenye faida. mfano; kuongeza safari za ndege, ukataji tiketi ambao ni rahisi k.v online, kuongeza idadi ya ndege za kununua au kuazima n.k. vile vile kuingia ubia na makampuni ya utalii, kuongeza huduma kwa wasafiri n.k

    kusema ukweli kuna mambo mengi ya kufanya kama kuna viongozi wanaotaka maendeleo ya kweli

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2010

    Very sad! Nyerere akifufuka hataweza kuhimili kukaa Tanzania hata kwa Nusu siku. No more comments!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2010

    Huyo Kamau ni wa kupuuzwa, usijisumbue kumjibu. Hata gazeti lao kubwa la tarehe 26/05/2010 Daily Nation" www.nation.co.ke linasema Tanzania inachanja mbuga, uchumi wetu Tz unakuwa kwa 6% kwa mwaka wao Kenya 4% hivyo ndani ya miaka 5 uchumi wa Tz utakuwa mkubwa kuliko nchi yoyote ktk shirikisho la Afrika Mashariki.

    Huyo Kamau ni kumpuuza ana-'seek' attention asiyostahili, tujadili ya kwetu.

    Mdau
    DSM

    ReplyDelete
  8. MliakuvanaMay 27, 2010

    Some pointers as ushauri kwa government:

    1. What does Rwanda Air, Uganda Air, Emirates etc and many more have in common? Answer: Proven and experienced, international air industry veterans! TZ government should do away with giving the running of the national carrier to cronies and ineffective boards that is past its time!

    2. Permanent Secretary kasema lile deni la 50 bilioni litalipwa punde akipatikana muwekezaji! Say whaaat!!! Lipa deni bwana ili kampuni liwe more attractive to foreign investors! Wewe vipi wewe??

    3. Mkienda kukodi ndege tafadhali muende kwenye reputable companies such as GE Capital instead ya mlikotoa Airbus yetu kimeo - Jamaica, sijui Ghana, sijui wapi!! Ubabaishaji mtupu! Better yet, go to the Mojave desert where you will find thousands of planes parked and you can get some good deals. Also, look for cheaper alternatives such as Bombardier and Embrair regional jets from Canada and Brazil.

    May our Twiga fly high again soon!!! (Lord help us!!)

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2010

    Tatizo la kuwapa washikaji Shirika waendeshe. Watu huangalia nani mkali kwenye airline industry duniani ndio unamleta ajaribu kuokoa shirika, acheni hayo mawazo ya kuwa na shirika kuubwa na tripu za mbaali just concentrate na kwenye faida na tripu za utalii. Coastal wako wanakula vichwa kama kawa na kila siku wanaongeza ndege. SAA wana more than 16 flights a week to dar, KQ nao usiseme. Develop new products, extra cargo from Mwanza au Comoro, shuttle bus for the Arusha or Zanzibar passengers, less check in time for flights za karibu karibu, packages that include hotels or game rides, special lounge for your passengers with secretarial facilities, drinks etc.
    Haya mashirika yetu yote, TTCL, Posta, TRL, Tanesco yanaweza kufanya kazi kwa faida tukitaka.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2010

    im so shocked with ths news!!
    really God punishes those pple who bankrupt our ATC

    what kind of leaders are you?

    stupid

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2010

    Huyu jamaa hata hajui grammar ya Kiingereza halafu anajidai amesoma. Kama kasoma angeandika kwa Kiswahili.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2010

    Aisee Michu mbona habari hii ni neema kubwa sana kwa Tanzania!. Maana hawana wanalolifanya zaidi ya rushwa na kuhujumu shirika. Hii ndiyo inatakiwa hatma ya wote wanafanya mchezo makazini, kama huna tija basi huna haja ya kuendelea na ajira.

    Mwezu December nilifika hapo ATC makao makuu kwa ajili ya kununua ticket kwenda Tabora, wakaniambia uwanja wa Tabora mmbovu hivyo ndege inatakiwa iwe na watu wasiopungua 40, Ila nafasi zitakuwa zimejaa ngoja nikuulizie.

    Yule dada akachukua simu akaanza kusema "alfa one, alfa one ni mimi alfa ten naomba nafasi moja ya Tabora, aaaH! alfa one nipe moja tu kuna kaka yangu hapa ana emergence" - mwisho akiniambia tarehe ninayotaka imejaa labla ya mbele yake, basi nikapiga mahesabu nikasema Okay nataka return ticket akaniambia laki tatu na ishirini, Nikaenda CRDB PPF Tower kuchukupa pesa kurudi ananiambia ngoje nicomfirm return date kwanza

    Machale yakaanza kunicheza, akainua mkonga wa simu akawa kama anaongea, kwa pembeni yake kulikuwa na dada mwingine akajifanya naye anaongea na mobile akisema "aaah! safari ya Tabora - Dar kurudi tarehe hiyo(same as mine) ndege imejaa kabisa yaani, hata hapa kuna mkaka anataka tarehe hiyohiyo sijui kama atapata", yule aliyeinua mkonga akaanza tena alfa one sasa vipi ile nafasi yangu nipatie basi.

    Mwisho akaniambia kuwa nafasi zimejaa kabisa nimwachie namba yangu ya simu kama mtu ata-cancel atanipigia kunifahamisha, nimeingia kwenye gari dk kama tano hivi simu ikabeep namba siijui, mh! nikazarau kwa kuogopa kupata ajali.

    Kufika home ikabeep tena, nikapiga akapokea msichana akaniambia kuwa kaka nafasi imepatikana muda wote huu nilikuwa nimeizuia ila itabidi uongeze elfu hamsini mbali na nauli maana nafasi ni shida kweli kaka, tumewakatalia watu wanne kwa ajili yako. Nikamwambia nimeahirisha safari dada nashukuru akakata simu.

    Nikapata picha kuwa hawa watu wapo radhi ndege iende tupu kama hutawapa chochote kama rushwa. Yaani kama wanaachishwa kazi ni habari njema maana wanashindwa kujua kuwa abiria ndiyo wanaotakiwa kuwalipa mishahara ni lazima wawatendee mema badala ya kuendekeza vi-elfu hamsini hamsini vya rushwa. Tokea siku hiyo nilisema ATC basi tena sitafikiria kusafiri nayo

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2010

    Udikteta tu wa serikali mbona hakujaachishwa kazi MARA MOJA kama wanavosema kwa TTCL :WALOIBA MABENKI NA MARADA WANATESA BADO NA MIKATABA MIBOVU YA MADINI?KESI MAHAKAMANI KILA SIKU HAZIMALIZIKI WANAFIKIRI WATANZANIA WAPUMBAVU?? HAYA WAKIACHISHA KAZI ATAFANYA KAZI NANI TENA? KWANI WENYE MAKOSA NI WAFANYAKAZI AU VIONGOZI WAO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...