Home
Unlabelled
Zenji Fleva
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Damn! huyo demu sio mchezo anakata mauno sasa mzee wa kazi hebu naomba number zake za simu niwasiliane nae tuongee vizuri mamabo ya kazi.
ReplyDeleteMbeba box USA
MLANGO WA JAHANAMU KWELI UKO WAZI
ReplyDeleteVery good performance,entertaining and very Swahili culturally authentic production.
ReplyDeletehapa hakuna culture wala nini....hii ni pure laana!
ReplyDeleteBro michuu!
ReplyDeletepiga kampeni ili kuzuwiya dada zenu wa tanganyika kuja kuzalilishwa hapa zenj!
msiponde akicheza shakira ange msifu sasa kacheza mbongo !!mnachonga !! ulaya ukiwa unajua kucheza hivi hata shule ya music unafungua na wazungu kibao wange jaa!!!
ReplyDeleteUhuni mtupu.
ReplyDelete(US Blogger)
Hii nyimbo ingekuwa na nzuri na ya kuvutia bila ya huu uzalilishaji wa wanawake wa kibongo. Lakini inaonekana wanawake kama hawa wa Kitanganyika ndio wanapata kula yao kwa udhalilishaji huu.
ReplyDeleteSisi tulio huku nje hatuwezi hata kuonesha watu tukasema hii ndio Tanzania
wewe mdau wa Thu May 20, 10:54:00 PM wacha kasumba zako za kikoloni, ofcourse akicheza shakira watu hawatasema kitu, ulaya na afrika mila na tabia zetu ni tafauti.
ReplyDeleteNi kwa nini kila lifanyikalo ulaya mnataka na afrika likubalike? Kwa nini hasa? kwa nini hatuthamini na kutunza mila na desturi za kikwetu?
Ngoma tanzania zinachezwa na akina dada wanakata viuno kupita kiasi na hakuna complain, lakini inapofika kucheza kama namna huyu dada anavyocheza, thats too much, ni soft porno kabisa. Labda ulaya inakubalika lakini kwetu haikubaliki. Labda mko baadhi mliokwisa lewa na kasumba za ulaya, lakini tupo ambao bado tunathamini utu, heshima, mila na desturi za mwafrika na hatutokaa kimya.
Tunahishimu dada zetu na ni aibu kuona baadhi yao wanafika kucheza namna hii mbele ya kadamnasi ya watu.
mtowa maoni wa Thu May 20, 10:43:00 PM, unajua maana ya mbaguzi? wewe ni mbaguzi kweli kweli, na kwa sababu ya watu kama wewe kuwepo pande zote mbili za muungano wa tanzania, ndio mnaosababisha mfarakano tanzania.
ReplyDeleteWazanzibari wangapi wapo tanzania bara tena mikoani kabisa na wameoa na kuolewa na kuwa na familia zao?
wazanzibari walianza kuingia kwa wingi bara mara tu baada ya muungano, wabara wameanza kuingia kwa wingi zanzibara mara tu ya kuondoshwa utumiaji wa passport.
masiki zanzibar yetu! pole mzazi wa mtoto huyu wa kike. wazanzibari tusimlaumu yeyote ila tujilaumu wenyewe kwa mabadiliko haya yanayotokea visiwani. Yalianza zamani tukabaki kimya na kulalamika vipembeni sasa haya yamejaa tulobaki tunalia tu!!!!
ReplyDeletekundi hili hili walishaimba nyimbo wakasema zanzibar siyo ile ya zamani, wamesema kweli.
wewe anon wa Thu May 20, 10:54:00 PM utasemaje huyu binti kuwa anacheza? anacheza nini hapo? huoni kama unawapagisha wanaume walio hapo tu? shakira na madansa wengine atleast wanacheza na kumove, huyo kaganda mahali hapo hapo na anazungusha nyonga utasemaje hiyo ni dance?
ReplyDeleteacheni zetu tamaduni mnazo nyiye !! nyie manaoponda nod wakwanza kuaribu watoto wa watu mitaani!! wabongo mnapenda sana staree kuliko kazi na hiyo ndo wazi!! mnajifanya mnatabia njema wakati nyie nyie ndo waaribifu!! wewe unayesema kuusu cultural what do u know about african cultural ???? kwa mtazamo wako hapo Dar kuna cultural gani hunayo hiona??
ReplyDeletemsiwe mna beep beep this is reality na huishi hivyo si mnaponda wakati wanyewe hamna kitu
wewe anon wa Fri May 21, 09:10:00 PM, sikujibu masuali yako kwani wewe mwenyewe binafsi hujijui na wala hujui kiswahili na nina hakika ndio maana pia hujui lolote kuhusu utamaduni wa mtanzania.
ReplyDeleteama kusema waliosikitikia tabia hii ndio waharibifu, napenda kukumbusha tu, umnyesheapo mtu kidole kimoja, vinne unajinyoshea mwenyewe. usingelijua hayo ya kujidai kuwa na tabia njema ilhali ni waharibifu ila nawe ni mmoja wao