ankal akiwa na mwandishi nguli wa habari za michezo nchini, willie chiwango, ambaye sasa ni mhariri wa michezo wa ThisDay. Chiwango ni mmoja wa jopo la wanahabari waliomtoa tongotongo ankal katika hii fani na ankal anamshukuru sana willie na wengine kama vile stephen rweikiza, attilio tagalile, Khadija Riyami, Bob Karashani na Hayati Reggie Mhango
Willie Chiwango akisalimiana na Mosi Ally, bingwa wa taifa wa mbio fupi wa zamani anayeishi ughaibuni. kati yao ni mdau wa michezo Henry Tandau ambaye ni mmoja wa maafisa waandamizi wa kamati ya Olimpiki Tanzania. Hapa ni kwenye ufunguzi wa mashindano ya riadha ya vijana wa Afrika Mashariki yaliyoanza neshno jipya leo
ankal akila pozi na Mosi Ally na Willie Chiwango



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2010

    Nafurahi kumuona Ankal akiwa na kamera ya kisasa kama za mapaparazi wa Brazil.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    Willy Chiwango is an intelligent journalist. Young lads in the profession should borrow a leaf from him

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2010

    Aunt Mosi, tuko pamoja. tunakutakia summer njema ndani ya Bongo.

    Mdau Richard
    Trondheim

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...