Home
Unlabelled
balozi mwapachu atangaza rasmi kuanza kwa soko la pamoja la afrika mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa watanzania na kuppenda starehe bila kufanya kazi...mambo kwishney..!!! wneye uchungu na nchi yetu wanakuja sasa!!!!
ReplyDeleteMimi nadhani umefika wakati serikali kuchukua rai ya wananchi katika masuala makubwa kama haya, inaeleweka wazi jinsi watanzania tulivyo na tatizo la ajira sasa je tutapoanza kuvamiwa na wafanyakazi toka nje. Wananchi mpaka sasa hatuelelewi mpango wenyewe utakavyokua ni wazi mpango huu utafeli kama ule wa jumuiya ya Africa mashariki.
ReplyDeleteLet the game bagin!mchakamchaka unaanza na baada ya miaka miwili utaona mkataba unavunjika maana kazi zote wageni wamekomba,na biashara kubwa wanazo wao,mtanzania kabaki ancheza bao.
ReplyDeleteKwani watanzania wanaobeba box ugaibuni wanachukua kazi za akina nani? Tuwache mawazo yaliyopitwa na wakati... tusipojiendeleza na kuwa tayari kushindana tusilaumu wageni wanaoajiriwa nchini... Watanzania wengi wanaweza kushindana na si ajabu kwamba wanaweza kuajiriwa popote pale siyo to Afrika Mashariki...
ReplyDeleteSoko la pamoja la Afrika mashariki je Watanzania kweli wanataarifa za kutosha na jambo hili (Awareness)au ni baadhi tu ya watu.Tunahitaji kupigwa somo bado tupo gizani totoro.
ReplyDeleteMjomba mtukanaji toka hapo Nakuru naye aja????
ReplyDeleteWe subiri kuelimishwa - wenzako wanaanza kazi!!! Hao wanaoanza walielimishwa na nani??
ReplyDeleteHiki ni kimbelembele cha viongozi wetu kujipendekeza sijui kwa nani. Majority ya wananchi wa tanzania hawaungi mkono jambo hili hata kidogo wanaburuzwa tu. Hatuhitaji wanyarwanda wala wakenya kuja kupora ardhi na bidhaa katika vijiji vyetu hapa! Tusidanganyike kwamba suala la ardhi halimo-ukishamruhusu mtu kuingia bila control wakati hata kitambulisho cha uraia watanzania hawana utamjuaje mgeni akinunua ardhi kinyemela hasa kwa uchu wa rushwa na vihela mbuzi uliotawala hapa bongo.Watakomba ajira na biashara zote hasa za mazao na hata zile ndogo ndogo na watajazana kwa gia ya kuoa dada zetu ambao huzuzukia wageni kufumba na kufumbua watoto wetu hawana chao.Ndio yale aliyosema Nyerere kubadili Almasi kwa kipande cha chupa...kama mazuzu vile. Na huu kwa wa-tz wanaoona mbali ni uzuzu kweli! Faida zake kwetu zinazidiwa na hasara na ugumu wa maisha tutakaoshuhudia and very soon! na huu si woga ...it is just plain facts lets get real!
ReplyDeleteHata hiyo Euopean Union tunayoiga imeshawaboa wazungu wanakumbukia walipokuwa kivyao ilhali wao wlijiandaa kwa miongo kama minne hivi seuze sie tunaoiga bila maandalizi?
Mnaongelea biashara na ajira tu ..ujambazi je? mmejiandaaje kiusalama? Sio kila mtu aja kununua na kuuza kuna majambazi nao watajaa kwa gia mbalimbali!
ReplyDelete