THE LATE CAROLINE MMARI


On behalf of the family of our sister Caroline Mmari, the Tanzanian Community in Southern California is sad to update everyone that police have found the body of Caroline Mmari buried in the backyard of the home that she lived prior to her disappearance. Currently the body is still with the police and will be released to the family once the investigation is completed. The husband of the deceased is already in police custody.
-
Meanwhile, the family of the victim is in the initial stages arranging to transport the body of Caroline Mmari back to Tanzania. On behalf of the family of the victim, the Tanzanian Community in Southern California is asking for your moral and financial support during this difficult time.
-
For those who are in the United States please send your financial support to Lilian Mgonja who is an aunt and a family representative of the victiom's family in Southern California: see the details below...


Bank of America
Name: Lilian Mgonja
Routing Number: 122000661
Account Number: 0475560122
-
We will provide additional updates as more information becomes available to us. Among pending issues, the family of the victim is planning for a memorial service but the date and venue will be provided once the police releases the body to the victim's family. You can reach the victim's family in the United States at:

southlandoutpatient@yahoo.com (mama Lilian Mgonja: victim's aunt)
frankray@rocketmail.com (Frank Ray: victim's uncle)

-
The Tanzanian Community in Southern California is extending prayers to the family of the victim and all those who are emotionally attached to the death of our beloved sister Caroline Mmari.
-
May her soul rest in peace, Amen...
Tanzanian Community in Southern California

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 63 mpaka sasa

  1. Mungu amlaze mahali pema. Poleni sana familia, Mungu atawapa nguvu.

    ReplyDelete
  2. Mike NguraJune 11, 2010

    this are why i left usa are not good being, why are klling us like dogs? im happy here life are goods and no bodies are killing others, Rip sisters,

    ReplyDelete
  3. Evangelist RayJune 11, 2010

    On behalf of the Ray family our true condolences go out to this family. Our son went to school with Caroline Mmari's 3 year old daughter. Our family is holding you up in praying. God will sustain you through these trying times. If my family is able to be of some assistance to the family in Southern California please email us at aray25@yahoo.com RIP Caroline

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2010

    jamani nimesikitika sana caro kama caro alikuwa ni mcheshi sana na alikuwa hana maaringo dada wa watu kwanini wamefanya ukatili wa aina hii na bado mdogo binti wa watu. otherwise wewe mbele siye nyuma, poleni wafiwa wote.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2010

    POLENI KWA MSIBA.
    MIMI BINAFSI SIPENDI KUISHI MAREKANI KWA SABABU YA MAMBO KAMA HAYA JAPO KIFO KIPO MAHALI POPOTE. UGHAIBUNI KUZURI LKN DAH!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2010

    kwani mumewe mbongo au mmarekani? manake katusumbua kutafuta kwenye magugo weeee kumbe kamzika tu hapo hapo... kwanini wasitusogezee huyu kaka tumchome kibiriti? kumwondoshea mwenzio pumzi bila tu ya sababu yoyote au huwezi kujua mambo ya nyumba siajabu alimwambia sikutaki tena jamaa hasira kamuua.... dada zangu huku ulaya hakuna uganga mtu ukimuudhi tu anachukua bunduki na watu wengine hawataki mambo ya kuachana. Kifo cha dacaro kwa kweli kimesikitisha poleni sana familia nzima ya mmari.


    RIP - Da'caro
    RIP - Gary Coleman
    RIP - Mwalimu JK Nyerere

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2010

    da caro RIP

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2010

    poleni wadau, huyo mumewe wamfanye apate death penalty na yeye

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2010

    What ????

    ReplyDelete
  10. Rose BakerJune 11, 2010

    Mi nilijua Caroline hajatoroka sababu sisi wanawake mara nyingi haswa tukiwa na watoto huwa tunakimbia nao, huyu bwana siajabu ana matatizo ya kisaikolojia. Siajabu kichwani kashavurugikiwa lakini hadi kumzika hapo nyumbani usiku alilalaje huyu jamaa?

    poleni sana familia ya mmary

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2010

    Mme wake alikuwa munugu, si unajua hawa jamaa, bangi bangi kwa sana. poleni sana.
    hawa si watu, wabongo huwa tuna kimbia tu, lakini hawa jamaa hawafanyi hivyo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2010

    Ughaibuniiiiiii!!
    Hawa watu wana roho mbaya sana, mimi siwapende hata kidogo, nawashangaa wanawake wanzangu kukimbilia wazungu, eti maisha ndio yatakua poa. Wakati ukishapelekwa huko unaenda kua mtumwa wao. Tutabanana hapa hapa na wabongo wenzetu na kitaeleweka tu, hatakama uchumi unayumbu, iko day tutatoboza.

    Poleni sana Familia ya da Caro.
    Mungu ampumzishe kwa amani. Amen.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 11, 2010

    Mike Ngura kwani ni lazima uandike kwa kiingilishi ndugu yangu wewe? duh unatutia aibu bwana!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 11, 2010

    Poleni ndugu na jamaa wa marehemu.

    Michuzi nadhani ushachoka na maombi yangu lakini kwa kupata taarifa ya mauaji haya, narudia tena. Una uhakika kama yule dada aliepotea ujerumani yuko hai? au mumewe ndio kafanikiwa kututia changa macho?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 11, 2010

    jamani dada wa watu mbona ameuwawa kikatili namna hiyo?ni kosa gani alilolifanya kubwa kiasi cha kustahili adhabu kubwa kiasi hicho tena kutoka kwa mumewe?nimekuwa nikisoma tangazo la kumtafuta mda mrefu kumbe mume mshenzi amemfanyia ukatili.jamani kuna usemi usemao alieuwa kwa upanga atakufa kwa upanga.mi nadhani nayeye anastahili adhabu ya kifo.mtoto arudi tanzania atatunzwa na familia ya marehemu.huyo mwanamme sio mtu hata jamii inatakiwa kuwa nae makini sana.nimeumia sana kwa kweli.R.I.P.kuna na katoto pia kalikuwa kanatafutwa kaka michuzi tunaomba taarifa zake kama kapatikana au vipi?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 11, 2010

    Huyo 'mumewe' ndie aliyemuua! Period! I can bet my head on that!

    *Je, alichukua hatua gani za kumtafuta baada ya kugundua kuwa 'mkewe' 'katoweka'?

    Kama hakuchukua hatua zozote ni kwa vile alikuwa anajua ALIPO! Si alimfukia mwenyewe bwana, baada ya kum-kosovo?

    * Ameniudhi sana huyo 'mume' wa Carol! Ndio nini kukaa kimya na kutuchora sisi wote hapa tukiumiza vichwa kujaribu ku-take wild guesses kuwa ni wapi Carol anawezekana akawa yupo, wakati yeye alikuwa kabisa anajua kuwa Carol kamfukia nyuma ya nyumba yao!

    * Huyo jamaa kauka KWA KUKUSUDIA, ndio maana hata hakwenda kujisalimisha polisi wala nini. Aisee inaelekea ana akili ndogo kama za panzi! Hivi alikuwa anafikiria nini? Kwamba haitakaa ijulikane kuwa yeye ndio aliyemuua Carol? Wakati mwili uko nyuma ya nyumba tu? IMBECILE!

    * To all men (na baadhi ya wanawake - hasa wale ndugu zake wa Palestina wa kule Moshi), jamani, kama 'umemchoka' partner wako, labda kachuja au nini (si unajua tena sisi wanawake wengine tukijifungua - sio wote tunaoweza kurudia hali zetu za 'usichana', please MWAMBIE! "Honey, my love for you is not the same - so IT IS OVER!". Au mwambie, sikupendi tena, au tafuta namna ya kumyeyusha, au ondoka wewe mwanaume muachie mwamanke nyumba, or something like that! Nafikiri hiyo ni bora kuliko kufikia uamuzi wa kumuua 'mkeo', kisa - umemchoka! Kwa wale wenye upendo wa kweli, huwa wanawatafutia wake zao personal trainers au wanawaandikisha gym. Please don't kill me atlest! Kwani watoto huwa mnawataka wenyewe (wanaume), na kwa bahati mbaya, watoto wengi huja kwa cost ya u-chabby!

    * Huyo baba anyang'anywe huyo mtoto mara moja, kwani hastahili kuwa mlezi wa watoto, na wala si wa kuruhusiwa kukaa karibu na watoto. Kaweza kumuua mtu mzima, sembuse mtoto ndio atamfanya nini?

    * Samahani kwa hili, lakini nilifikiri kuwa nyie huko marekani hamuombi michango ya misiba? Au nilisoma vibaya humu kwenye Blog?

    *Marekani sintakaa nikanyage n'goo!

    MAY CAROL REST IN PEACE, AMEN.

    Poleni kwa 'Gazeti'.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 11, 2010

    I did suspect her husband from the beginning.May god rest her soul in peace. What a sad news to hear poleni wafiwa

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 11, 2010

    Mungu wa upendo, wa Rehema, Bwana uliye juu Wewe mweza yote Pale ambapo hatuwezi tena Wewe upo. Kaa karibu na familia hasa watoto na wazazi wa Caro.

    Jaribu ni kubwa, pigo halina kipimo, Bila WEWE Bwana hatuwezi!Waape nguvu wafiwa,Tunaomba ulinzi wako kwa watoto wetu wote walioko ughaibuni Bwana. Roho wako Mtakatifu aliye ndani yao wote awafungue macho ya kiroho kusudi waone kwa mbali kabla majanga hayajawapata. Mungu wa majeshi, watoto ni baraka kutoka kwako na kawaida wao ndio watuzike sisi wazazi. Uchungu mkubwa sana, jeraha miyoyoni halina Daktari mwingine ila Wewe Mokozi.

    Poleni, family, watazania wa southern California, wa wanyumbani na wote pale mlipo

    RIP Caro "Ati twonane mtoni.......

    Grandma

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 11, 2010

    Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Pema Peponi, Mumewe alikuwa MMAREKANI.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 11, 2010

    Kaka Michuzi Vipi suala la Michuzi Youth Social Initiative??Nakukumbushia ni vizuri ukalianza suala hili wadau tupo kukupa Nondo
    nimetuma hapa najua utasoma kwani hujibu email tukikutumia
    Mdau
    Khamis Hassan Batanyaga
    Ukerewe

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 11, 2010

    daaah,RIP Caro..

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 11, 2010

    Whoever posted this announcement, please do as favor of revealing the identity of the husband!!!!
    In any case he does not deserve to called a human being, he is just an animal only that he walks on two legs!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 11, 2010

    Oooh God, imenisikitisha sana.Poleni sana wafiwa Mwenyezi Mungu awape nguvu na amani katika kipindi hiki kigumu. May God Rest her in Peace.

    Amina.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 11, 2010

    oooh my dearest caro jamani Mungu akulaze mahala pema peponi dear,nasi twaja we umetangulia tu..Mungu ni mwema damu yako haitopotea tu bali maajabu yatafanyika na muuaji atapelekwa mbele za haki..

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 11, 2010

    Jamani nimesikitika sana na taarifa za kifo cha huyu Dada Caro simfahamu lakini nilikuwa nafuatilia sana kujua kama alipatikana kupitia blog ya jamii. Kweli ubinadamu umekwisha kabisa, yaani mtu anathubutu kukatili uhai wa mwenzake kisa nini? Poleni sana familia ya Caro, inauma sana kuondokewa na mpendwa wenu lakini ndo hivyo tena imetokea. Mungu awape nguvu na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na kipenzi chenu. RIP Caro.

    mdau wa blog ya jamii

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 11, 2010

    poleni sana watanzania wote. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu.

    pili naomba kuwakumbusha dada zetu mlioolewa na wazungu na mpo majuu. jaribu kuwa karibu sana na kaka zenu pamoja na dada zenu walio karibu na nyie. amini usiamini itasaidia.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 11, 2010

    Mungu ilaze roho ya marehemu CARO mahali pema pemoni. Nilikuwa mfuatiliaji mzuri kutaka kujua ndugu yetu amepatikana lakini ndio hivyo tena. Mungu awajalie faraja na uvumilivu familia ya marehemu. AMEN

    ReplyDelete
  28. man that is born of woman hath but a short time to live, and is full of miseries.

    he cometh up, and is cut down, like a flower.he fleeth as it were a shadow, and never continueth in one stay.in the midst of life, we are in death.of whom may we seek succor but of thee, O Lord, who for our sins art justly displeased.



    BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

    ReplyDelete
  29. kwa akina dada wa kibongo, WANAMME WA HUKU SIYO MCHEZO, HAWANA UTU HATA SIKU MOJA...AKIKUKAMATA UNACHITI AU UKITAKA KUMUACHA AU KAMA MAISHA NI MAGUMU NA UNA LIFE INSURANCE KUBWA, MARA MOJA ANAKUUWA...MSIWAONE WANANG'AA KWENYE MAGAZETI, HAWANA KITU HAWA...BORA WAKINA KAKA WA KIBONGO, AKIKUMATA UNACHITI ANAKURAMBA VIBAO TU, BASI MAPENZI YANARUDI....POLENI SANA WANA NDUGU na RIP dada yetu

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 11, 2010

    Poleni sana ndugu kwa matatizo yaliyowapata,

    Hiyo ya Mike Ngura inaitwa LUGHA BAMIZA manake huwezi jua ni ung'eng'e wa asubuhi, mchana, au jioni, Aibu bro

    jkl

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 11, 2010

    jamani hata mie nimeguswa na hili RIP Caroline. Nilikuwa nimeona kwenye fb kuna dada mwingine nafikiri wa west africa alipost kumtafuta
    http://www.facebook.com/pages/Missing-Persons-Unit/107453225943786?v=stream
    na akasema kuwa alikuwa 3monts pregnant? kama ni kweli ina maana huyo mume kamuua mama na mtoto asiyehata zaliwa. Kwa mnaotaka kuona kuona picha hii habari pia ilikuwa kwenye habari kwenye kituo unaweza kuiona kupitita hapa
    http://www.cbs2.com/video/?id=135871@kcbs.dayport.com
    yaani dada wa watu alikuwa anaonekana mpole sana sasa huyo baba siajabu tu frusturation na maisha maana hii economy depression imewafanya watu wachanganyikiwe. Mungu awalinde watoto wake.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 11, 2010

    jamani caro, siamini, ulikua social leader wetu ngarenaro sec school arusha, truly i can not believe this has happen to u, the way i knew caroline back to school, very social, hakuendekeza majungu, mungu alimjalia akili ya kufaulu, na kikubwa zaidi ni jinsi alivokua hana ushoga,
    may ur soul rest in peace CAROLINE, i curse who did this to u....

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 11, 2010

    Jamani mbona watanzania wanauana jamani . Msigeneralise namna hivyo . Hayo ndio maisha na sisi wanawake kunakitu kinaitwa uvumilivu . Hayo ya zamani ukimwona mwanaume anadrama usijing'ang'anikize maana yatakukuta . Be careful with the sighs of abuse .

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 11, 2010

    Nasikitika kusema kuwa polisi wa magharibi Mara nyingine ni wabaguzi sana, walijua bibi ni foreigner na chief suspect ambaye ni mume ni raia!! Matukio ya wake au ndugu kuuliwa na kutupwa mtoni au kufukiwa kwenye back yard ya nyumba ni mengi sana huku nchiza magharibi! Yaani suala la kuchukua hatua ya kuchunguza house backyard lilitakiwa kuwa la kwanza walischa makusudi coz walijua kabisa mazingira ya kupotea dada yetu huyu chief suspect alikuwa ni mumewe ikizingatia mtoto yupo!! Haiingii akilini after three months of the disappearence ya dada yetu eti ndo wanapata akili ya kwamba houseback yard ichinguzwe!!! Tunaishi nao tu lakini hawapendi tujaze nafasi kwao!!! Hawajui kuwa na sisi bongo ingekuwa green pasture wao wangejazana kwetu!!! Imeniuma sana!!sasa tunaambulia mifupa tu!!!! Dada zetu hawaii watu achaneni nao wanawatumia lakini upendo hamna na haya ndi matokeo!!!! Sisi kaka zenu Tupo timejaaaa huku kwa niño tusipeane wenyewe kwa wenyewe Tena sisi tuko natural sana!!!!

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 11, 2010

    JAMANI WATANZANINA TUWE NA UFAHAMU MPANA SANA, KWANI TUJUE HAWA TUNAOISHI NAO TUNATOFAUTIANA SANA UTAMADUNI. PILI THAMANI YA UTU NA UHAI WA MTU KWA MTAZAMO WAO NI TOFAUTI SANA NA MWONO WETU SISI.

    WENGI WANAOAMUA KUISHI PAMOJA WENYE ASILI MOJA NA UTAMADUNI UNAOFANANA WANAJUA NAMNA YA KUCHUKULIANA KATIKA MATATIZO, LAKINI UTAMADUNI WA WENZETU HAWANA USTAHIMILIVU NA NI WEPESI SANA WA KUCHUKUA HATUA NA KUBONYEZA TRIGER KWANI HAWAJALI UHAI WA MTU.

    POLENI WANAFAMILIA NA WATANZANIA WOTE. MATOKEAO HAYA NI FUNZO LA MAISHA KWETU WENGINE.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 11, 2010

    poleni wafiwa such a sad news really, haya wadada mnaotaka kuolewa na wthungu, angalieni hayo, aka mie bora kufa kwa ukimwi kuliko kuwawa kinyama hivyo, haya kina mk etc semoni hapo

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 11, 2010

    wewe anon wa Fri Jun 11, 10:39:00 AM una akili finyu namna gani? unadhani wabongo hawaui? unadhani hapa tanzania wabongo wangapi wameua wake zao? kuna mbongo pia ameua binamu yake huko usa. so shut up usiruke tu na kulaumu jambo usilolijua.

    Tanzania asubuhi unasikia tu fulani amelala usiku asubuhi hakuamka, hapapiti uchunguzi wowote mtu anazikwa. Jee unajua ni wangapi kati ya hao wanakuwa wameuliwa na wapenzi wao? mtu anamziba pumzi mwenzake halafu asubuhi anapiga mlio basi mambo yamekwisha.

    Kwa nini asilimia ya vifo vya tanzania ni vya mtu kufa akiwa amelala? jiulize hilo! jawabu ni kwa sababu hakuna post morten kwa kila anaefariki nyumbani (kitandani)

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 11, 2010

    RIP Carol,

    Its so touching, Carol alikuwa jirani yangu oyesterbay na tulisoma wote Bunge Primary School.Inasikitisha sana, Pole sana Manka kwa kumpoteza Dada yako nakumbuka mlikuwa wawili tu katika familia na mlisha poteza wazazi wenu baba na mama...Tunawaombe Mungu awape nguvu wafiwa...Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe..

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 11, 2010

    mdau wa Fri Jun 11, 11:06:00 AM shairi refu unachoeleza kiko obvious kama unafikiri huyu mumewe ataachiliwa vipi akae na mwanawe? tumia bongo ndugu!

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 11, 2010

    Wadau we are talking about home violence, home violence haina kabila, utakuta mtu mstaraabu nje lakini nyumbani ana punching bag. And when it gets out of hand this is what happens. It has nothing to do na mzungu, mchina, mwaafrika, etc.Intervention should have been done along time ago. Poleni waafiwa

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 11, 2010

    RIP Caroline. Ingawaje simfahamu lakini roho imeniuma sana...Ameacha mtoto mdogo hivi kweli na mimi nilisema toka mwanzo waanze na huyo mume wake. Siku zote hizo alikua wapi hakuripoti mkewe amepotea mpaka ndugu zake waanze kutafuta....Duh maisha haya!!!!!! I hope she died quickly and she didn't suffer at all...May God rest her soul in peace....

    Nakumbuka kuna mtu alisema hapa kwenye blog wao ni yatima ni kweli? Inasikitisha sana kama ni kweli wadogo zake nyumbani dada naye anauliwa hivi....

    Watu wanaosema marekani hukai au sijui watu wa namna hii ni vile au ni vipi...Ukweli ni kuwa kila nchi ina mashetani wake. Uwe unaishi Tanzania au nchi yeyote ile. Ukipata bahati mbaya kukutana na shetani ni bahati yako mbaya tu. Yule mtanzania aliua binamu yake huku naye tutasemaje? Na huyo mwanaume ni mzungu au black American it real doesn't matter kawa vile shetani hachagui color.

    Tushukuru Police wametafuta mapema na kumpata ingekua cold case au another statistic tu. Mwanamke kapotea...I wonder kwa nini haikumfikia Nancy Grace hii story...

    Tunatakiwa kuwa caution tu na kujua culture za watu na mtu unayehusiana naye kabla ya kujiingiza kwenye watu wa nchi nyingine...It is sad nikiona mtu anaingia USA within a months anapata mtu na kukubali kuoa/kuolewa naye. The more ninaishi huku the more ninaelewa tuko tofauti kwa culture sana tu.

    Wao wanategemea professional cousiling a lot. Na wasipokua na hela za kwenda kutafuta psychologist, therapists ndio hivyo hawajui kusolve matatizo yao kidiplomasia. Ni kuua tu...na pia kuna wengine ni schizophrenia na bipola wanatumia dawa tu ukiwaona njiani ni kama watu wakaida tu lakini siku asahau kuchukua dawa zake ndio utajua yeye ni nani. Afathali kwetu tukiwa wadogo tukimwona Hamisi Nyalo tunajua yuleee kichana tunakimbia. Huku wengi vichaa wanatumia tu dawa sasa unawaza kudate huyo mtu usijue lakini siku baada ya siku ndio unaanza kuona mambo ya ajabu na hapo uamue kuondoka na yeye ameinvest emotion so much utakoma....

    Na ufisadi wao ni kuwa Wazungu watakuua kwa life insurance na black Americans atakuua akijua unataka kumuacha mkiwa naye wakati wewe ndio unamtunza na kumlisha...

    Na wote hao watakuua once mna watoto na unaanza kudai kuachana na kutaka kudai child support.

    Ni bahati mbaya kwa Caroline alikutana na huyu mtu ....Poleni wafiwa


    kama Michuzi hebu tupe updates za Sheryl naye ni vipi?

    ReplyDelete
  42. JAMANI CAROOO mimi hata ciamini. MUNGU akulaze mahali pema mamii u will alwayz b remembered jamani hata c amini kabisaaa. pole sana cathy n bro for all these....

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 11, 2010

    Kuna watu wamedata humu ndani! LOL! Eti mtu anamziba mwenzie pumzi, halafu asubuhi anapiga mlio!

    Lisemwalo lipo, kama halipo litatokez (God Frobid).

    Tutabanana na wabongo tu kwa kweli, na sina maana ya kumlaumu yeyote, kwani kila mtu na preference yake. Wengine Rangi za Maji ya Kunde, Damu! Au vikizidi sana ..,,

    Rest in Peace Carol.

    Poleni Sana Wafiwa.

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 11, 2010

    KIKUBWA HAPA WADAU NA WANANCHI WENZANGU NI KUWAPA POLE NA SUPPORT FAMILIA YA MMARI.

    TOA MCHANGO WA HALI NA MALI NA SIYO KUJARIBU KUELEZEA UNAVYOWAFAHAMU WATU WA UKEREWE/KISHUMUNDU.

    RIP BELOVED DADA CARO.

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 11, 2010

    lol mdau umenikumbusha hamisi nyaloo kwa kweli acha tuu nusu atutoage roho lol. ila kweli wenzetu wako sana tofauti na sie swala la kuachwa hawataki kusikia hata kama ndoa ni ya makaratasi wanageuka ving'ang'anizi mwishowe wanakutoa roho kama yale mauaji mengine ya mtoto wa mazula na mchumba wake sijui iliishiaga wapi nayo mtu ukiona hakieleweki ni bora urudi kwenu kwa mda kwanza manake hata ukiamia state nyingine mtu kukupata pia ni rahisi hasa foreigners hivyo ni bora utafite libabu la miaka 60 huko hayanaga shida, poleni sana wafiwa

    ReplyDelete
  46. AnonymousJune 11, 2010

    Mimi nasema ni muhimu ku-muuliza Mungu na kupata ishauri kabla ya ndoa.

    Siku hizi ukiwaonya watu kuhusu mchumba wanakimbilia kufikiri ni wivu badala ya kuchunguza.

    Ukiwa makini watu wenye kasoro zilizovuka mpaka huwa zinaonekana. Jambo la Pili ni kuwa karibu na watu wa msaada kama kanisa hivi.

    Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete
  47. AnonymousJune 11, 2010

    Poleni sana wafiwa, inatia uchungu sana.

    Mwenyezi Mungu awapeni subra.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  48. AnonymousJune 12, 2010

    sijawahi kumjua huyu dada but sijui kwanini roho yangu ilikua haina amani frm day one limewekwa tangazo la kupotea kwake.jamani kama ni mume wake kweli kamuua ndugu na marafiki mlioko huko fuatilieni suala la mtoto aliyebaki maana huwezi jua huyo mume maybe alikuwa anawaabuse wote either violently au emotional au physical.hivi vitu si vya kuchukulia ju juu,tuanyoyaona ktk movies and tv series yanatendeka duniani,Mungu ni mwema na mwaminifu haki itatendeka na roho yake itapumzika kwa amani.na kwa wale familia yake Mungu atawatia nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.jamani tuzidi kuombeana na kupendana maana tunakoenda huko sasa ni kubaya ,binadamu wamegeuka wanyama,na tulioko nchi za watu ndio inatisha zaidi,tuombeane jamani n kama ikiwezekana tutafute hela then turudi kwetu kwenye amani na upendo though kila sehemu kuna mashetani wake na wale wanaopenda kuharibu kazi za Mungu LAKINI TRUST ME NYUMBANI NI NYUMBANI HATA KAMA MAISHA YANAKATISHA TAMAA BUT WHEN IT COMES TO THSI THINGS I MISS HOME.mUNGU AMAJLIE MTOTO WAKE ALIYEBAKI FARAJA,AFYA NA UZIMA KTK MAISHA YAKE MAANA DUNIA YA SASA KTK UMRI HUO KUISHI BILA MAMA JAMANI NA KAMA KWELI NA BABU NA BIBI HAWAPO BASI NI ANAHITAJI MAOMBI YENU ZAIDI NA MTOTO ATAKAVYOISHI KWA AMANI NA ROHO YA cAROL ITAPUMZIKA KWA AMANI.UYAANI MACHOZI YANAITOKA HAPA JUST CANT IMAGINE NDIO DUNIA TULIYOPO SASA.May her soul rest in eternal peace .AMEN

    ReplyDelete
  49. AnonymousJune 12, 2010

    Poleni wafiwa tumesikia upande mmoja wa matokeo sasa tusubiri upande wa Mume nini ataeleza

    Patric

    ReplyDelete
  50. AnonymousJune 12, 2010

    Msiba mkubwa sana. Poleni wafiwa. Sista wangu mmoja hapa arusha aliyesoma naye ngarenaro kwa father babu anasema kuwa mumewe alikuwa ni mmarekani mweusi. Lakini pamoja na uchungu tusi-generalize na kusema kuwa watu fulani ni wabaya. Katika kila jamii kuna wema na wabaya. Mola amlaze Carroline pema peponi. Amin.

    ReplyDelete
  51. AnonymousJune 12, 2010

    jamani mimi nimeshukuru nimerudi toka ughaibuni kwa salama,maana wazungu na hao raia wa nje ni makatili, siwapendi sijui kwa nini wabongo tunaona ndio watu wa maana ,watu ambao hawana imani,enyi wanawake wenzangu mliobakia huko msibabaike na makaratasi msibabaike na wazungu hao watu ni makatili hili liwe somo kwetu jamani,dada wa watu alikuwa anatafuta tuu maisha yake na kufanya kazi kama mtu mwengine sasa ona ameacha mtoto mdogo maskini,RIP dada Caro sikujui ila kifo chako kimenistua na kunihuzunisha,this is why namshukuru mungu niko bongo hata kama ina malaria,maji machafu lakini niko kwetuuu!!!

    ReplyDelete
  52. AnonymousJune 12, 2010

    MIKE NGURA ULIISHI U.S.A YA WAPI NA HICHO KIZUNGU NI CHA NTWARA NINI NJOMBA?

    ReplyDelete
  53. AnonymousJune 12, 2010

    KWANZA NAPENDA KUTOA POLE KWA WAFIWA WOTE,MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI DADA YETU BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.
    PIA NAOMBA NITUMIE WAKATI HUU MGUMU KUTOA USHAURI TU KWA KUWA MIMI NAISHI HAPA UNYAMWEZINI KWA MUDA SASA MAUAJI KAMA HAYA TUMEYAZOEA KUYAONA NA KUYASIKIA KATIKA REDIO KILICHO KIGUMU KWETU KILA BAADA YA MUDA NASI HUTUKUTA MASHAKA HAYA KWA WATANZANIA WENZETU AU WAAFRIKA KWA UJUMLA HAPA SIKUSUDII KUWAHESABU HAWA WAMAREKANI WEUSI KWANI WAO NDIO WAUAJI WENYEWE.
    USHAURI WANGU NI KUWA DADA ZETU WAWE MAKINI SANA NA HAWA JAMAA WAKATI WAKITAKA URAFIKI NA HATIMAE UCHUMBA NA NDOA HUVAA NGOZI YA KONDOO BAADA YA MUDA HUITOA ILE YA CHUI AMBAYO NDIO "ORIGINO"
    SISI TUPO TELE HAPA JITAHIDINI NA SISI MTUPE NAFASI YA UPENDELEO KATIKA MAPENZI KWANI HAWA SI WATU HAWAJUI MSALIE MTUME WAO KUUWA KAMA KUVUTA SIGARA HAWAONI TABU NDIO MAANA HUKO JELA WEZI NI KIDOGO KULIKO WAUAJI.
    MUNGU ATAMLIPA HAPA HAPA DUNIANI HUYU BWANA ALIYEMUUWA DADA YETU.
    AMIN.
    KAKA KUONA SAN DIEGO.

    ReplyDelete
  54. AnonymousJune 12, 2010

    May the almighty help the family of Caro.
    RIP Caro

    ReplyDelete
  55. AnonymousJune 12, 2010

    Mike Ngura!!! Duuuuhhh!!!
    Kiinglishi gani hicho hata chekechea pale tabata hawezi ongea mchapo huo? Wewe umeondoka kwa kuwa watu wanauwana au huna makaratasi? Na kwa kiinglish hicho, makaratasi yangekuwa hayawezekani. Ebu nambie, unaanzaje kumtokea demu kwa kiinglish kwa style hiyo?

    Poleni wafiwa.
    Michuzi, Da Sherry mpaka tumuone kwa macho, simu si kitu, utapeli mtupu. Zingatia hilo michuzi, anaweza akawa hai lakini ni mfungwa basement na anashikiwa mtutu kujibu simu zenu.
    Tumeomba sana, awasiliane na wabongo wanaoishi huko mbona hajafanya hivyo na hajaonana na hata mmoja hadi sasa?

    Mimi naona haya ni mazinguzi tu. Hii kesi haijaisha, hata ung'ang'anize namna gani, shery aonekane kwa macho kwa wadau na wajue anaishi wapi na anaishije. wahakikishe kuwa ni mzima na si mfungwa

    ReplyDelete
  56. AnonymousJune 12, 2010

    du inatisha kweli yaani hata hakufikiri kuwa ana mtoto wa miaka miwili pia alikuwa na ujauzito kwa mujibu wa tangazo la kupotea kwake
    hatari nashindwa hata kuelewa alikuwa jambazi nini. poleni wafiwa ila iwe funzo kwa ndugu zetu wanaotaka uraia wa marekani kwa njia ya kujilazimisha kuolewa na watu ambao hawajuani vizuri

    ReplyDelete
  57. AnonymousJune 12, 2010

    caro jamani alikuwa mcheshi anaongea na kila mtu,nakumbuka from mazinde juu...RIP dada!!

    pole sana cathy

    NEY-Birmingham.

    ReplyDelete
  58. AnonymousJune 12, 2010

    jamani?ee Jehova nini hiki?uyu dada kaniuma,simjui ila nilikua nafatilia hii newz kwa ukaribu nijue hatma,nilimwombea sana na wabongo wote waishio nje

    sina hamu

    ReplyDelete
  59. AnonymousJune 12, 2010

    KILO hujatulia wewe,umenifanya nicheke

    poleni sana wafiwa jamani,Mungu wa upendo na awatie nguvu sana

    ReplyDelete
  60. AnonymousJune 12, 2010

    Mike Ngura umeanza lini kuichukia USA? Unakumbuka ulipokuwa ukitukana watu kwa kumpinga rais wako Bush?
    Ngoja nikukumbushe, fuata link hii:
    http://issamichuzi.blogspot.com/2006/09/benabue.html

    Jamani wafiwa, poleni sana, huyu alikuwa dada yetu sote, yaliyompata yanasikitisha na yanaweza tokea kwa yeyote yule. Tuwe makini tu na watu tunaohusiana nao.

    ReplyDelete
  61. AnonymousJune 12, 2010

    Poleni wafiwa


    Hii blog komesha.. Mtu unapewa na references ...Haa!!!! nimesoma hiyoo issue ya Mike Ngura nikafuata niangalie ilikuaje huko nyuma mweeee jamani Michuzi weee babu kubwa na blog yako I am speechless...

    Mike Ngura weeee....Wanasema usinyie kambi miaka 9 ukakimbia na kithungu hicho???...box ulilokua unapiga lilikua mute mute no communication at all??? Umeniangusha

    ReplyDelete
  62. AnonymousJune 17, 2010

    mungu akulaze mahali pema peponi carol.
    ulikuwa rafiki yangu bunge primary tulimaliza wote 1999.
    hii inasikitisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...