Home
Unlabelled
dunia kigeugeu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
imetulia lakini u congo mtupu,manake mie nilizani sio kiswahili kumbe ndio hivyo.imepoa hongera zao.
ReplyDeleteGuess what?!! Bongo impaired life, but raha tupu, amani, upendo,relaxing, happiness si kama huku unapiga box twenty four hours..!!.Tatizo la Bongo ni mshiko tu. I like this song and has reduced my home sick to some degrees. Nice theme, nice video(Hakuna vichupi), nice tune,educative.
ReplyDeleteHII ALBUM YA FM ACADEMIA MIMI NAIITA NI ALBUM YA DECADE (MUONGO). NYIMBO ZILIZOMO NDANI YA ALBUM HII PAMOJA NA HUO WIMBO HAZICHUJI HARAKA NA BADO ZINAPENDWA MF, ACHA TAMAA,ANNA N.K.
ReplyDeleteNAFIKIRI FM WANA JAMBO LA KUJIVUNIA,CHA MSINGI NI WAO KUTULIA UPYA NA KURUDI KIKAZI KAMA ZAMANI.
ALBUM OF A DECADE.
michuzi asante sanaaaaaa kwa hichi kitu kizuri. hawa jamaa completely professional. mimi ninapenda kuwasikiliza akina werrasson, mpiana, koffi, fally na wengine kwenye utube na sikujua nyumbani kuna muziki mzuri kama huu. nina wapongeza hili group kwa muziki wao mzuri.
ReplyDeleteKaka Michuzi mie naomba uniwekee SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPI huu haupandi kabisa. Ninayo hiyo DVD.
ReplyDelete