The President of CCBRT Board Dr. Wilbrod Slaa welcomes President Jakaya Mrisho Kikwete to the Movenpick Hotel in Dar es Salaam to celebrate CCBRT Partnership in supporting maternal and Newborn Health in Tanzania held yesterday evening.
The President of CCBRT Board Dr.Wilbrod Slaa introduces to President Jakaya Mrisho Kikwete Chief government Medical Officer Dr. Deo Mtasiwa shorly after President Kikwete arrived at Movenpick hotel in Dar es Salaam for CCBRT partnership celebration to support maternal and newborn health in Tanzania yesterday evening. Third left is CCBRT CEO Mr.Erwin Telemans.
President Jakaya Mrisho Kikwete shares a light moment with the President of CCBRT Board Dr.Wilbrod Slaa during a CCBRT Partnership celebration to support maternal and newborn health in Tanzania.
(photos by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2010

    Picha nzuri sana hiyo. WanaCCM na CHADEMA mpo? Donors waone sasa kuwa JK hana ugomvi na wapinzani. Ninavyomjua SLaa wakati wa kampeni atawaambia Karatu Rais mchagueni Kikwete lakini mbunge nichagueni mimi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2010

    Nashukuru Dr slaa amepata nafasi hii ya kukutana na rais moja kwa moja naamini kwa hizo dk chache ataongea na rais point zote maana bungeni huwa wanambania kweli Mungu hamtupi mwenye haki

    ReplyDelete
  3. hii mbele ya mheshimiwa rais ni bia ama chupa ya maji?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2010

    Safi sana Rais Kikwete kwa kuunga mkono miradi inayosimamiwa na wapinzani wako kwa njia hiyo unadumisha umoja.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2010

    Mdau wa Sat Jun 12, 07:07:00 PM, hiyo sio chupa ya bia wala maji ya kawaida, ni chupa ya sparkling water.

    Mdau wa Canada.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2010

    JK ni bonge la rais,habagui na hachagui watu wote kwake ni sawa....TATIZo wabongo ni kama tumelaaniwa vile hatuishi kumlalamikia kama vile yeye ndo atatutatulia matatizo yetu yote.
    Big up JK,uko juu bana kwa maprezida wa Africa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2010

    tuache kupotosha watu kwamba dk slaa atasema wamchagua kikwete ubunge wa mpe yeye.


    hapo siasa imeekwa pembeni kwenye swala hili muhimu linalohusu jamii yetu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2010

    Mdau wa Sat Jun 12, 08:09:00 PM, kumbe Tanzania tunachagua/tunahitaji bonge la rais msikivu??? Nilikuwa sijui mwenzio, mi nilidhani wote tunahitaji rais mtendaji!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...