Ni Ijumaa 23/07/2010 bw. ABDUL MAIMUN na bi ASHA KALLENGA walipomeremeta nyumbani kwa mwakilishi wa B. Harusi Bw.KASA MUSSA. Baadaye kukawa na mnuso wa kukata na shoka katika ukumbi wa jumuiya ya watanzania Athens.Watanzania wa ugiriki tunawatakia kila la heri katika maisha yao mapya.Yawe ya baraka na fanaka. AMEN
Bi harusi akiwa na wazazi wawakilishi, Bw. KASA MUSSA na mkewe Bi SHASHA
kwa picha zaidi
BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2010

    KASSA MUSSA , NAONA UMEJIPENDELEA.

    NDO INAVYOTAKIWA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2010

    Ningesema ni makaratasi lakini kwa kuwa ni wamatumbi x 2 watakuwa wamefanya uamuzi wa dhati. Hongereni maarusi.


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2010

    MMMMMMMMMHHHH !!! MULIKUWA WAPI MIAKA YOTE?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2010

    Kassa Mussa beki Kisiki wa Coastal Union miaka ile. Tanga ilikuwa Raha bwana...Hongereni maharusi kwa uamuzi mliochukua Mungu aidumishe ndoa yenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    Hivi hawa wamevaa sanamu au ni macho yangu?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    Kasa Mussa umenikumbusha mbali sana enzi zako ukiwa Coastal Union ("Mangush") pale Tanga. Kuna wapenzi walikuwa wakikuita "Freezer" kwa ule mtindo wako wa kuweka mpira kifuani kabla hujaangalia wapi utoe pasi... Enzi hizo mid-field ya Coastal ilikuwa na Ally Maumba vilevile....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2010

    MHHHH KWELI MLIKUWA WAPI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...