


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni Wazanzibar kwa kudumisha Sunna ya kusitiri kichwa. Maana kama sio kofia basi ni mtandio...yaani shurti raha.
ReplyDelete....Wazenji bwana!.....wako simple wanakula lecture kutoka kwa Dr, mtaalam wa Kima! Meza kuu haina hata Maua!? mpeni supu ya pweza na urojo mama akimaliza!
ReplyDeletelugha gani hinatumika hapo??
ReplyDeletenasikia mataifa makubwa sasa wanakataza maijabu ma shuleni mimi nazani na sisi watanzania tufate mkondo huo !
ReplyDeletetatizo la wazenji ni wavivu sana sasa hata kumwekea maji ya kunywa bibi wawatu mnaona shida!! akidondoka je? wazenchi akili ya kufikiria vitu simple akuna kabisa!!
ReplyDeleteWapi hightable manners?
ReplyDeleteTatizo langu ni huyo jamaa anyeongea na simu wakati wa lecture!!!
Tukiambiwa uswahili umetuzidi inakuwa nongwa!
Anon wa Thu Jul 22, 03:02:00 PM, udini unakusumbua.
ReplyDeleteMbona mambo mengi yanafanywa na mataifa makubwa nyie mmeshindwa? Mf kwenda mwezini, kuwa na demokrasia ya kweli.
Kiukweli mataifa makubwa saana kama UK na US ndo hasa yana uhuru wa dini kuliko hata nyinyi.
AAH! MI mwenyewe mzenji lakini hiki kama ndio chuo kikuu kwanza kitafeli kwa NIZAMU TU.hata rangi hakijapigwa kuhusu maji huyu BIBI SI LAZIMA MAANA HALI YENYEWE NDO MWISHO MWISHO TENA.
ReplyDelete