Jane Goodall Institute (JGI)founder, who is today a world-renowned primatologist, conservationist and UN Messenger of Peac, Dr. Jane Goodall delivers a Public lecture today at the State University of Zanzibar. The Jane Goodall Institute (JGI) founder, primatologist, conservationist and UN Messenger of Peace was in the Isles in her crusade to preserving the flora and fauna
SUZA lecturers, stuidents and staff listen to Dr Jane Godall
a cross section of Dr Jane Goodall's audience at SUZA today
Dr Jane Goodall speaks
Dr. Jane Goodall
part of the audience
More on Dr. Jane Goodall









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2010

    Hongereni Wazanzibar kwa kudumisha Sunna ya kusitiri kichwa. Maana kama sio kofia basi ni mtandio...yaani shurti raha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2010

    ....Wazenji bwana!.....wako simple wanakula lecture kutoka kwa Dr, mtaalam wa Kima! Meza kuu haina hata Maua!? mpeni supu ya pweza na urojo mama akimaliza!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2010

    lugha gani hinatumika hapo??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2010

    nasikia mataifa makubwa sasa wanakataza maijabu ma shuleni mimi nazani na sisi watanzania tufate mkondo huo !

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2010

    tatizo la wazenji ni wavivu sana sasa hata kumwekea maji ya kunywa bibi wawatu mnaona shida!! akidondoka je? wazenchi akili ya kufikiria vitu simple akuna kabisa!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2010

    Wapi hightable manners?
    Tatizo langu ni huyo jamaa anyeongea na simu wakati wa lecture!!!
    Tukiambiwa uswahili umetuzidi inakuwa nongwa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2010

    Anon wa Thu Jul 22, 03:02:00 PM, udini unakusumbua.

    Mbona mambo mengi yanafanywa na mataifa makubwa nyie mmeshindwa? Mf kwenda mwezini, kuwa na demokrasia ya kweli.

    Kiukweli mataifa makubwa saana kama UK na US ndo hasa yana uhuru wa dini kuliko hata nyinyi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2010

    AAH! MI mwenyewe mzenji lakini hiki kama ndio chuo kikuu kwanza kitafeli kwa NIZAMU TU.hata rangi hakijapigwa kuhusu maji huyu BIBI SI LAZIMA MAANA HALI YENYEWE NDO MWISHO MWISHO TENA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...