JK akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha-Rose Migiro wakati alipomtembelea Ikulu jijini Dar leo. JK akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha-Rose Migiro alipomkaribisha Ikulu jijini Dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2010

    JK baba,.anapeeenda swaga za kibongo flava,.hawezi kutok bila kurusha mikono?lol

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2010

    Mama tunakusubiria elfu mbili na kumi na tano. Hatujui kama una nia, lakini tukujuavyo; uwezo, akili na nguvu unazo kuweza kutupeleka katika eneo lenye maziwa na asali.



    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2010

    mmmh jamani mimi ni hayo maua yalivyomengi lol, huyo mpambaji ajaribu kupunguza maua, ni mengi mno hadi hayapendezi tena.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2010

    aisee huyu mama kweli ana maadili ya kiafrika kama sio ya kitanzania, nimependa alivyoonesha kukiti kwa adabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...