MAMA JOYCE KALLAGHE, MKE WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA(MWENYE NYEUSI, KATI), MH. PETER KALLAGHE ANAYEHAMIA LONDON. AKIAGANA NA CANADIAN INTERNATIONAL WOMEN GROUP NA WAKE WA MABALOZI AMBAO AMEKUWA AKIFANYA NAO KAZI ZA KUSAIDIA WATOTO WALEMAVU NA KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO YA KINA MAMA TANZANIA.
MAMA KALLAGHE (WA PILI SHOTO) AKIWA NA BAADHI YA KINAMAMA WA UMOJA HUO

MNUSO WA KUMAUAG MAMA BALOZI UKIENDELEA
WAHUDHURIAJI WAKISIKILZA HOTUBA
MAMA BALOZI AKIAGWA RASMI





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    Kulipendeza na mlipendaza kisawa sawa. hongera zenu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    Kweli ukienda Roma, basi na yafanywe yale wafanyavyo Waroma, hiyo mikofia mashallah....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    mke wa balozi kapendeza haswaaa safi sana imetulia

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    If our UK events looked like that then i would attend!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2010

    Auntie mimi naona ungependeza sana kama ungevaa boubou za kiafrika na kuheshimika zaidi kuliko hizo kofia za kikoloni. All the same nakutakia wewe na familia yako kila la heri. Mwanao "Afro-centric".

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    Umetulia Madame Joyce Kallaghe, mtu wa watu, ukaendeleze libeneke London. Kofia hizo zimenimaliza jamaniiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...