Wateja wakipita karibu na gari la Zimamoto kurejea kwenye benki kutoka upande wa bustani ya Jiji walikokimbilia baada ya hitilafu ya umeme kutokea kwenye Makao Makuu ya Benki ya NBC, Barabara ya Sokoine Drive jijini Dar leo. Wateja wakiwa langoni wakisubiri kuingia ndani ya benki baada ya kuarifiwa kuwa hatari hiyo ya moto imedhibitiwa. Hakuna aliyedhurika na uharibifu wa moto haukuwa mkubwa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2010

    Copyright 2006 - 2009 © ISSA MICHUZI. All Rights Reserved.

    Oyaa ankal badilisha © yako iwe 2006-2010 au mimi ndo nimechemka,

    muongozo

    Mdau Mark B.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...